Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
narudia tena msitubutu kabisa.msije filisika kama mbayuwayu na void na mkewe honestty
Hapa bado Pesa IPO yanaweza fika sita.
Niko nao sambamba fursa hii.Young Boys leo wanaoshwa goli za kufa mtu.
Young Boys leo wanaoshwa goli za kufa mtu.
Hatari aisee...dude kama hilo likitick si mchezo
Watapata Mkuu, yaani hii mechi ni fursa
nazima simu jamani ila nawaonya
daah umeongea pts sikutegemea ..poa lkn nafanya kwa nia nzuri tu maana kuna MTU tulimpoteza huku kwa SBB ya bettingSawa lkn usipende kuwaudhi watu sababu ww huwez wapangia maisha yao bana kwann uu muda usiupoteze kufanya unayo amini yatakufaidusha
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani mkuu, naiongeza kwenye list yangu.Ndugu zangu hii ni moja Kati ya ligi ya HANGARI NB II ambayo betpawa hawakuiweka lakini mnaweza kuona matokeo saizi, hivyo unaweza kuona namna gani hizi kampun za kwetu wanavyochambua ligi za ushindi nakuziweka kwanza pembeni, izo gem zilizoshinda nimefwatilia zilikua na point 1.6 na around point 1.5 ,walioko 1xbet watakua waliziona Kama wanajua kuchambua profitable leagues,kuna wetu wangependa kujua profitable leagues ni zipi hizi ni ligi ambazo ziko less tracked by the bookmakers View attachment 1039680
Sent using Jamii Forums mobile app
sunguraaaaaaWw jamaa tulia basi tushakuchoka nyau ww kwendra kafanye kazi acha kuwapangia watu cyakufanya
Sent using Jamii Forums mobile app