Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,908
- 8,996
oya nauza tips za uhakika anayehitaji tuwasiliane inbox.....fujo nimeacha rasmi
Sent using Jamii Forums mobile app
nataka niwatajilishe!!!Kwa nini uuze tips wakati unaweza weka hata million upige pesa za kufa mtu...
Nb: umesema tips za uhakika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamuuzie mama yakooya nauza tips za uhakika anayehitaji tuwasiliane inbox.....fujo nimeacha rasmi
Sent using Jamii Forums mobile app
oya nauza tips za uhakika anayehitaji tuwasiliane inbox.....fujo nimeacha rasmi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii safi Mkuu hizi Pesa ukizipiga inabidi uwekeze kwenye mambo kama haya.Mikeka ikitiki msisahau kujenga ndugu zangu, na unapoamua kujenga nitafute nikujengee
Gharama zangu ni nafuu.
Msingi wa nyumba ya kisasa ni kati ya 4mil - 6mil kutegemeana na aina ya kiwanja. Hiyo hela ni labour plus materials.View attachment 1040803View attachment 1040804View attachment 1040805View attachment 1040806
Leo twende sawa
Wakuu za Muda, kwa Mtu aliyetumia Parimatch. Msaada Kuhusu Withdrawal na Deposit wako Fasta?
Na Je wana Games za Kutosha au nao Ka Betpawa wanabana baadhi Ya Games?
Msaada
void=emptyHii safi Mkuu hizi Pesa ukizipiga inabidi uwekeze kwenye mambo kama haya.
MASIKINIIshauli wakuuu maak sina hamu na kipigo nilichokulaView attachment 1040894
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe si ulikataa kua hauuzi tips?oya nauza tips za uhakika anayehitaji tuwasiliane inbox.....fujo nimeacha rasmi
Sent using Jamii Forums mobile app
bonge la nyumba ..... heti void anadai anajenga kupitia......Mikeka ikitiki msisahau kujenga ndugu zangu, na unapoamua kujenga nitafute nikujengee