Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,047
- 13,494
huwa napita mara moja moja humu kuchek uzi,naona watu wanaliendeleza poa ila wengine ndo full upupu!!
Nakumbuka miaka ile 2013 mwishoni jinsi members walivyokuwa kitu kimoja....simu hizi naona watu wanazinguana humuhuwa napita mara moja moja humu kuchek uzi,naona watu wanaliendeleza poa ila wengine ndo full upupu!!
Hamjambo humu.... Kazi njemaNakumbuka miaka ile 2013 mwishoni jinsi members walivyokuwa kitu kimoja....simu hizi naona watu wanazinguana humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajinga hao ..wameondoa kuwithdraw kwa mobile phone .... Mpaka uende kwenye center zao wehu kabisa....Kuna mtu anaetumia Gal Sports Betting humu,,, anisaidie upande wa Ku withdraw inakuaj
Duu mzee Baba upo kumbe aisee wakongwe muwe mnatoa risala humu....kuna watu wanaharibu uzi huuHamjambo humu.... Kazi njema
Hawa waligombana na tigo, kama upon dsm Mkuu, wanapatikana pale fire.Wajinga hao ..wameondoa kuwithdraw kwa mobile phone .... Mpaka uende kwenye center zao wehu kabisa....
mzee mwenzangu upo?Hamjambo humu.... Kazi njema
Bookmakers wanatuvuruga sana,
Angalia vizuri hii game. Away team ana possibility kubwa ya kushinda hapa, lakini ona odds zilivyowekwaView attachment 1041328
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee watu wame omba slip payout ile yenye green colour wapate iyo motivation ya kustake ulicho suggest badala yake una endeleza ngonjera tu toka jana lets be real wazeeWakuu ili tuone mafanikio ktk betting inabidi uwe na mtaji mkubwa. Mfano ukifikia hatua ya kustake kuanzia 1000000 ndipo utaona matunda.
Mfano mm jana betpawa hawatanisahau nimewapiga 7mil .
Kuna game ilikuwa over 0.5 odd 1.18 dakika ya 11. Nikaweka stake ya 2mil . Dakika ya 16 jamaa wakafunga. Nikapata faida ya 236000.
Ili kuvuna hela ya mhindi ni lazima uwe na staki kubwa.
Leo nitawapa mrejesho , ngoja hangover za pombe ziishe niingie mzigoni.
Siko hapa kuleta ligi au mashindano. Samahani kama nimekukwazaMzee watu wame omba slip payout ile yenye green colour wapate iyo motivation ya kustake ulicho suggest badala yake una endeleza ngonjera tu toka jana lets be real wazee
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndo ukweli...huu mchezo ukiwa na mtaji mkubwa na moyo mgumu unakutoa kabisa....odds 1.1 ukistake 1m unapiga laki....yaani hapo mithili unamiliki daladala....ila uwe na moyo mgumu kweli.....Wakuu ili tuone mafanikio ktk betting inabidi uwe na mtaji mkubwa. Mfano ukifikia hatua ya kustake kuanzia 1000000 ndipo utaona matunda.
Mfano mm jana betpawa hawatanisahau nimewapiga 7mil .
Kuna game ilikuwa over 0.5 odd 1.18 dakika ya 11. Nikaweka stake ya 2mil . Dakika ya 16 jamaa wakafunga. Nikapata faida ya 236000.
Ili kuvuna hela ya mhindi ni lazima uwe na staki kubwa.
Leo nitawapa mrejesho , ngoja hangover za pombe ziishe niingie mzigoni.