Ni kweli juzi nami nimetafuta odds 10 nitaweka mil 1 na leo nimeruhusiwa kutoka hospitali.Wakuu ili tuone mafanikio ktk betting inabidi uwe na mtaji mkubwa. Mfano ukifikia hatua ya kustake kuanzia 1000000 ndipo utaona matunda.
Mfano mm jana betpawa hawatanisahau nimewapiga 7mil .
Kuna game ilikuwa over 0.5 odd 1.18 dakika ya 11. Nikaweka stake ya 2mil . Dakika ya 16 jamaa wakafunga. Nikapata faida ya 236000.
Ili kuvuna hela ya mhindi ni lazima uwe na staki kubwa.
Leo nitawapa mrejesho , ngoja hangover za pombe ziishe niingie mzigoni.
Sasa odds 10 kweli? You can't be serious!Ni kweli juzi nami nimetafuta odds 10 nitaweka mil 1 na leo nimeruhusiwa kutoka hospitali.
Mm nimejifunza kwa jamaa yangu. Anafanya kazi barrick gold mine. Jamaa anakula bata hatari, kila siku si chini ya 200,000 anamalizia baa, baada ya kumhoji zaidi akanipa mchongo huo. Jamaa anamtaji mkubwa wa kubet, betting imempa gari mbili za kubeba mchanga, anamiliki maeneo kila kona ya dar. Hesabu yake kwa siku ni 8mil. Mtaji wake ni 30mil.Huo ndo ukweli...huu mchezo ukiwa na mtaji mkubwa na moyo mgumu unakutoa kabisa....odds 1.1 ukistake 1m unapiga laki....yaani hapo mithili unamiliki daladala....ila uwe na moyo mgumu kweli.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Stake kubwa unabet timu moja boss.Ni kweli juzi nami nimetafuta odds 10 nitaweka mil 1 na leo nimeruhusiwa kutoka hospitali.
mkuu vip huwa unadeposit na kuwthdraw kwa njia gani? Safaricom ama bitcoin? Kama ni safaricom vip kwenye kiwthdraw hawasumbui maana najua kwenye kudeposit hamna kikwazo.
Na raha ya betting uwe na source nyingine ya income......uzuri ukiona mechi haieleweki unauza game bora nusu hasara maana unaweza kujipanga upya.....kuna watu vyuma havikazi.....na bet nzuri ni ya magoli....Mm nimejifunza kwa jamaa yangu. Anafanya kazi barrick gold mine. Jamaa anakula bata hatari, kila siku si chini ya 200,000 anamalizia baa, baada ya kumhoji zaidi akanipa mchongo huo. Jamaa anamtaji mkubwa wa kubet, betting imempa gari mbili za kubeba mchanga, anamiliki maeneo kila kona ya dar. Hesabu yake kwa siku ni 8mil. Mtaji wake ni 30mil.
mkuu vip huwa unadeposit na kuwthdraw kwa njia gani? Safaricom ama bitcoin? Kama ni safaricom vip kwenye kiwthdraw hawasumbui maana najua kwenye kudeposit hamna kikwazo.
Mm nimejifunza kwa jamaa yangu. Anafanya kazi barrick gold mine. Jamaa anakula bata hatari, kila siku si chini ya 200,000 anamalizia baa, baada ya kumhoji zaidi akanipa mchongo huo. Jamaa anamtaji mkubwa wa kubet, betting imempa gari mbili za kubeba mchanga, anamiliki maeneo kila kona ya dar. Hesabu yake kwa siku ni 8mil. Mtaji wake ni 30mil.
Tofauti na hivyo bora uache kubetOfcoz kama unahela ya maana hapo ni sawa unaweza cheza kwa style hyo ila otherwise unajitafutia pressure tu maana kuliwa Million kwa sababu ulikuwa unatafuta laki 2 niukichaa kwa kiasi flan.
Risk Taker ndo anaefanikiwa.....hiyo ni daily routine bob....akifanikiwa kupata wiki nzima yupo mbali....Ofcoz kama unahela ya maana hapo ni sawa unaweza cheza kwa style hyo ila otherwise unajitafutia pressure tu maana kuliwa Million kwa sababu ulikuwa unatafuta laki 2 niukichaa kwa kiasi flan.
Wakuu ili tuone mafanikio ktk betting inabidi uwe na mtaji mkubwa. Mfano ukifikia hatua ya kustake kuanzia 1000000 ndipo utaona matunda.
Mfano mm jana betpawa hawatanisahau nimewapiga 7mil .
Kuna game ilikuwa over 0.5 odd 1.18 dakika ya 11. Nikaweka stake ya 2mil . Dakika ya 16 jamaa wakafunga. Nikapata faida ya 236000.
Ili kuvuna hela ya mhindi ni lazima uwe na staki kubwa.
Leo nitawapa mrejesho , ngoja hangover za pombe ziishe niingie mzigoni.
Safaricom haina shida kutoa sema kama ni pesa mingi une piga toa kidogo kidogo uki request kias kikubwa wata hitaji ufanye verification ya full registrationmkuu vip huwa unadeposit na kuwthdraw kwa njia gani? Safaricom ama bitcoin? Kama ni safaricom vip kwenye kiwthdraw hawasumbui maana najua kwenye kudeposit hamna kikwazo.
Tofauti na hivyo bora uache kubet
Haina shida fata maelekezo niliyo kupatia juu apoKwa wale wadau wanaotumia Safaricom kwa 1xbet vip suala la kuwithdraw? Kuna aliyefanikiwa kuwthdraw bila zengwe?
Ni site ya kupredict Na ni nzuri Kwa kujifunzia betting Na kuongeza maarifa kwasababu unaweza kubet Kwa kutumia coins zao kama majaribio.kudadek kweli balaa....hii ni site ya kupredict au ni mkeka wa mtu?
Unawashwa nn? Unatafuta bwana bila shaka.We nawe mboyoyo mingi Huna lolote Umeambiwa leta mkeka uliokula Milioni umekaa Kimya yani cjui unadhani sisi ni mafala kiasi gani hata soka255 humdanganyi kwa style hiyo Kelele mingi Milioni milioni milioni milioni Sasa unatudanganya sisi ili iweje hasa [emoji23][emoji23][emoji23] What For? Umaarufu? Wote hatujuani humu! Wenzio akina @void. Hata hawapigi kelele anapost green ya 100k bila Caption yoyote ile ila wewe sasa kelele mingi Huna lolote unapost limkeka ambalo hujalipia [emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90] Umeandika listake milioni unatuambia umekula [emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
Sent from my iPhone using JamiiForums