Big TIMERS
Senior Member
- Dec 5, 2018
- 120
- 141
nina kama miezi 2 nabet match moja tuu kila siku over 2.5, miezi 2 mfululizo bet zote WON. nastake 20% ya mtaji. nilianza na mtaji wa 10,000 huwa najiulizaga bets zote hizo ningekuwa nastake pesa ndefu ningeshanunua Raum. naunga mkono hoja mtaji mkubwa ndio mpango mzimaHuo ndo ukweli...huu mchezo ukiwa na mtaji mkubwa na moyo mgumu unakutoa kabisa....odds 1.1 ukistake 1m unapiga laki....yaani hapo mithili unamiliki daladala....ila uwe na moyo mgumu kweli.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu buddy makorokoro Mara mojamoja strategy nzuri tafuta timu mbili au tatu tupia mpunga utaina faida mfano mm Jana nilipata faida Kama 250 kwa hi strategy,bila kusahau kadi nyekundu unajilipua hahahaifran, uko vzr sn kwenye makokolo mkuu. BIG UP
Mkuu buddy makorokoro Mara mojamoja strategy nzuri tafuta timu mbili au tatu tupia mpunga utaina faida mfano mm Jana nilipata faida Kama 250 kwa hi strategy,bila kusahau kadi nyekundu unajilipua hahaha
View attachment 1041443View attachment 1041444View attachment 1041445View attachment 1041446View attachment 1041447
Sent using Jamii Forums mobile app
Inagomaje? Yaani inatoka kwanza then baadae inarudi au inagoma hatua ya mwanzo kabisa? Mimi nimewithdraw kwa KCB na salio lishapungua kule, pia operator kasha-confirm.Kuwithdraw kwa NBC huwa inagoma ila deposit inakubali, huwa nawithdraw kwa bitcoin
Sent using Jamii Forums mobile app
Navizia atupie hata moja nitembelee nyota yakeifran, uko vzr sn kwenye makokolo mkuu. BIG UP
Huwa haihami kabisa, denied by operatorInagomaje? Yaani inatoka kwanza then baadae inarudi au inagoma hatua ya mwanzo kabisa? Mimi nimewithdraw kwa KCB na salio lishapungua kule, pia operator kasha-confirm.
Basis mi nadhani itanifikia, ni swala LA muda tu. Ujue haya mabenki sijui vipi! Kadi ya KCB haikubali kabisa kudeposit 1xbet, ila kupitia Melbet ni ndani ya sekunde kadhaa tu mzigo unasoma.
hatariii...inaitwaje mwanangu!!!Ni site ya kupredict Na ni nzuri Kwa kujifunzia betting Na kuongeza maarifa kwasababu unaweza kubet Kwa kutumia coins zao kama majaribio.
Betswall ipo playstorehatariii...inaitwaje mwanangu!!!
Hahaa yamefika kumi.