Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yakupaswa uelewe kwanza haya maneno; OVER maana Yake ni juu ya, UNDER maana Yake ni chini ya.
Over 1.5 ni kwamba magoli yapatikane kuanzia mawili Na kuendelea ndio umeshinda yakipatika chini ya hapo umeliwa, mtiririko ni huo huo Kwa Over 0.5, Over 2.5, Over 3.5 Na kuendelea.
Under 1.5 ni kwamba yapatikane magoli chini ya mawili, yakipatikana mawili Na kuendelea umepoteza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…