Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Shukrani mkuu na hizo 2.5 over/under tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Official Celtic nimempa Ban....
Majinga sana haya

Sent from my SM-G532F using Tapatalk


Brendan Rogers amerudi EPL ... sijui ni kocha gani amechukua mikoba ya kuifundisha Celtics. Wanaweza wakashake kipindi hiki (i.e. consistency itabadilika). Huyu ni wa kuachana nae kwa sasa mpk atakapostabilize.
Mimi walinisikitisha Tottenham ... bora ningewapa win first half au win either half.
 
Guys Pesa ya Supu ya Asubuhi hujachelewa


*1.* *Fc Tom Tomsk* VS *Fc Krasnodar*
Pick 1× Odd 1.26

*2.* *Wuhan Zall* VS *Beijing Renhe*
Pick 1× Odd 1.32

*3.* *Fc Ryukyu* VS *Ehime*
Pick 1× Odd 1.25

*4.* *Seongnam* VS *Fc Seol*
Pick 12 Odd 1.37

*5.* *Fc Academica clinceni* VS *Ripensia Timisoara*
Pick 1× Odd 1.17



*Total Odds 3.33*
*Possibility 98%*


Stake high then thank me later

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Neil Lennon ndiye kocha wao sasa, pamoja na hivyo kabla BR hajaenda Leister yalishawahi nichoma haya...
Jana nilimuogopa Borussia nikamparamia huyu mwehu..odd 3.6 akapita nazo..

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…