Idrisa1510
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 276
- 444
Ni Bora umpe win or draw Kwa hii mechi kuliko kumuuaHiv Man U atashinda kweli leo? Heheh
Kwel mkuu hata mi nimeona hivKila mechi hua hamumuamini halafu mwisho wa siku anaondoka na winNi Bora umpe win or draw Kwa hii mechi kuliko kumuua
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo application inaitwaje vile?Hahaaa Aiseee...View attachment 1042042
Neil Lennon ndiye kocha wao sasa, pamoja na hivyo kabla BR hajaenda Leister yalishawahi nichoma haya...
Jana nilimuogopa Borussia nikamparamia huyu mwehu..odd 3.6 akapita nazo..
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Inaitwa betswall mkuu ina vichwa vya ajabu kwa kuotea kama huyo jamaa amajisajili kama guest1662587 kutoka tunisia huko.....hiyo application inaitwaje vile?
poa, nipo naipakuaInaitwa betswall mkuu ina vichwa vya ajabu kwa kuotea kama huyo jamaa amajisajili kama guest1662587 kutoka tunisia huko.....
Natembea nayo sana hii apppoa, nipo naipakua
Hii ni hatariiHahaaa Aiseee...View attachment 1042042
hahahahahaOfficial Celtic nimempa Ban....
Majinga sana haya
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
mwanangu mimi najaribu kuipakua playstore inazingua hivi naweza kuichukulia gugo?...nijuze pia predictions zao unaona kwa kulipia ama freeInaitwa betswall mkuu ina vichwa vya ajabu kwa kuotea kama huyo jamaa amajisajili kama guest1662587 kutoka tunisia huko.....
yani hapo mwendo wa kuwa followpoa, nipo naipakua
Ndio inachukulika iandike tu betswall.apk kisha kama kawaamwanangu mimi najaribu kuipakua playstore inazingua hivi naweza kuichukulia gugo?...nijuze pia predictions zao unaona kwa kulipia ama free
umefanikiwa jamaa? mbona mimi nikiipakua inagoma!!!poa, nipo naipakua
mdau kila nikiipakua hii app inagoma nifanyeje ili niwe nayo!!!!Natembea nayo sana hii app
Kuna siku zile hot coupon za odds 3000+ zitatema tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni freeee of charge yani ni mwendo wa kuwacheki wale wadau wenye uwezo wa kubet mechi zenye odd+ za kutosha na kujilipua...mwanangu mimi najaribu kuipakua playstore inazingua hivi naweza kuichukulia gugo?...nijuze pia predictions zao unaona kwa kulipia ama free
ngoja nijaribu manyani hapo mwendo wa kuwa follow
Ndio inachukulika iandike tu betswall.apk kisha kama kawaa
Hii ni kampuni gani?, au ni applicationgani mkuuHahaaa Aiseee...View attachment 1042042