Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duh huwa kuna pepo siyo siri. Mimi over 1.5 kila siku naandaa timu 30 zinachana 3, mbili au 4.
 
Vipi uwezekano wa kupata Red card kwa ATM maana wanacheza kwa mihemko sana.
Sidhani, Game kubwa kama hzi zinazohamua nani apite waamuzi huwa na nidhamu sana ili wasionekane wamemuonea mtu so binafsi siwezi kucheza uwepo wa redcard labda nicheze "No red card"
 
Sidhani, Game kubwa kama hzi zinazohamua nani apite waamuzi huwa na nidhamu sana ili wasionekane wamemuonea mtu so binafsi siwezi kucheza uwepo wa redcard labda nicheze "No red card"
[emoji106]Nimekupata.
 
Huwa nikiona odds za home & away team hazipishani sana, mizimu yangu huwa inanielekeza kuweka X
Ama kweli kila mtu na strategy zake
Mi timu zikipishana odds kidogo na odds zenyewe ziwe kuanzia 2.6 natengeneza single mbili nazipa zote ushindi kila single
Atakaye shinda yeyote napiga hela

Mfano hapo ya leo saa 12 nimewapa wote kashinda mmoja kama ulistake laki kila single basi utapata laki2 na 80 ukitoa laki2 za stake unabakiwa na elf80 safi

Ikitoka drawa tu umepigwa mazimaView attachment 1044238

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusema ukwelinatamani niangalie mpira. Lakini hizi gemu zinachezwa usiku sana. Hapa full kusinzia kwenye tv
 
Hii ya lost

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…