Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Based on the last 5 games ... Kashiwa hawezi kupindua shilingi hapa kweli?

 
jana hiyo, kila mkeka anapatikana mchawi mmoja mmoja, ngoja niweke mkeka hapa wa leo odds 1000 tuone wachawi watakuwa wangapi
 
Dah! Serikali nayo yaani kila sehemu inatia mkono huku wangetuachia jamani mbona naona kama kodi
kubwa sana?
 
Reactions: 30P
1,591,329 kodi ya zuio318,066 unapata 1,273,363 Wakati wao hawachangii wazo lolote
Mi nina presha zangu na mechi mbili zilizobaki wao wanasubiri kodi tu nikikosa hawana shida.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
1,591,329 kodi ya zuio318,066 unapata 1,273,363 Wakati wao hawachangii wazo lolote
Mi nina presha zangu na mechi mbili zilizobaki wao wanasubiri kodi tu nikikosa hawana shida.
Hizo kampuni zinazotoza kodi kwenye winning ticket zinawaibia Wateja, kampuni zinatakiwa kulipa kodi kutoka kwenye faida wanayoipata sio kuiba hela walizoshinda Wateja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…