Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Hahaaa hiyo mbuzi hata ikipost siku hizi sioni chochote nimeiweka kwenye ignore list.Msubiri mshikaji wako Void ab initio atakutumia[emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaahaa etii ung'eng'e wa Rooney...Wada tunaobeti makampuni ya kimataifa aisee kule shule za muhimu.
Niliwithdraw hela toka tar 3 na ilibidi iingie jana. Sasa nilipoona haiingii ikabidi niwaandikie kwa live chat. Yule dada akanipa email ya kuwasiliana na operator wa miamala au niwasiliane kwa desktop version eti.
Sasa nikaona usumbufu bwana, si nikaomba call back! Weh! Baada ya dakika tano akapiga simu halafu niko mbele za watu. English anayoongea inaonesha ni ya kwa Rooney mwenyewe! Tulipoelewana vizuri ni aliposema ntaje no ya kitambulisho! Yaani nilitamani tuendelee hapohapo.
Nilivyoona hali inakuwa tete nikasema simsikii vizuri network inakata, naomba nimwandikie kwa email, lakini wapi! Kila nikisema thank you, dada anamwaga ngeli tu. Dah! Kweli shule ina mchango wake kila mahali.
Wada tunaobeti makampuni ya kimataifa aisee kule shule za muhimu.

ni kampuni gani ulitumia? Na ulikua unawithdraw kwa njia gani?Wada tunaobeti makampuni ya kimataifa aisee kule shule za muhimu.
Niliwithdraw hela toka tar 3 na ilibidi iingie jana. Sasa nilipoona haiingii ikabidi niwaandikie kwa live chat. Yule dada akanipa email ya kuwasiliana na operator wa miamala au niwasiliane kwa desktop version eti.
Sasa nikaona usumbufu bwana, si nikaomba call back! Weh! Baada ya dakika tano akapiga simu halafu niko mbele za watu. English anayoongea inaonesha ni ya kwa Rooney mwenyewe! Tulipoelewana vizuri ni aliposema ntaje no ya kitambulisho! Yaani nilitamani tuendelee hapohapo.
Nilivyoona hali inakuwa tete nikasema simsikii vizuri network inakata, naomba nimwandikie kwa email, lakini wapi! Kila nikisema thank you, dada anamwaga ngeli tu. Dah! Kweli shule ina mchango wake kila mahali.
Melbetni kampuni gani ulitumia? Na ulikua unawithdraw kwa njia gani?
Hahaaa hiyo mbuzi hata ikipost siku hizi sioni chochote nimeiweka kwenye ignore list.
PoaKama n Safari com tumia 290027 Kama n Airtel tumia 1xbet
Kuna kipigo cha mbwa koko kinaendelea hapa.
Hapa tutupie ngapi mzee baba...MKEKA WA PESA NO.1
Odds: 3.16, mechi: 4
1. England championship
Derby vs stoke
Derby win or draw at fulltime
Odds: 1.40
2. Uefa
Barcelona vs Lyon
Barcelona win at fulltime
Odds: 1.25
3. German women
Wolfsburg vs Potsdam
Wolfsburg win at full time
Odds: 1.23
4.England championship
Qpr vs Rotherham
Total corner under 11.5 at fulltime
Odds: 1.47
Total odds: 3.16
******MAPAMBANO YAMEANZA****
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ushauri ni kwamba, Juve wako na two goals down. Fact ni kwamba watataka kuchomoa hayo magoli kwa hiyo watashambulia sana.
Kwangu mimi nadhani over 6.5 corners kwa home team ni safe zaidi kuliko magoli
Sent using Jamii Forums mobile app