Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Siku nyingine msijaribu kumuua Liver UCL akiwa na game ngumu,muwe mnamuua akicheza na team dhaifu...................Poleni nyote mliomuua
 
Hahahaha
Wada tunaobeti makampuni ya kimataifa aisee kule shule za muhimu.
Niliwithdraw hela toka tar 3 na ilibidi iingie jana. Sasa nilipoona haiingii ikabidi niwaandikie kwa live chat. Yule dada akanipa email ya kuwasiliana na operator wa miamala au niwasiliane kwa desktop version eti.
Sasa nikaona usumbufu bwana, si nikaomba call back! Weh! Baada ya dakika tano akapiga simu halafu niko mbele za watu. English anayoongea inaonesha ni ya kwa Rooney mwenyewe! Tulipoelewana vizuri ni aliposema ntaje no ya kitambulisho! Yaani nilitamani tuendelee hapohapo.
Nilivyoona hali inakuwa tete nikasema simsikii vizuri network inakata, naomba nimwandikie kwa email, lakini wapi! Kila nikisema thank you, dada anamwaga ngeli tu. Dah! Kweli shule ina mchango wake kila mahali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku nyingine msijaribu kumuua Liver UCL akiwa na game ngumu,muwe mnamuua akicheza na team dhaifu...................Poleni nyote mliomuua
Single 4 kati ya 6 zimeraruka vibayaa
Liverpool kiboko
 
MKEKA WA PESA NO.1

Odds: 3.16, mechi: 4

1. England championship
Derby vs stoke
Derby win or draw at fulltime
Odds: 1.40

2. Uefa
Barcelona vs Lyon
Barcelona win at fulltime
Odds: 1.25

3. German women
Wolfsburg vs Potsdam
Wolfsburg win at full time
Odds: 1.23

4.England championship
Qpr vs Rotherham
Total corner under 11.5 at fulltime
Odds: 1.47

Total odds: 3.16

******MAPAMBANO YAMEANZA****

Sent using Jamii Forums mobile app
******BET WOOOOON***,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bayern hayuko form kabisa, hajacheza kiushindani.

Timu haina morali

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hayo mashindano kuna team huwa wana bahati nayo mnoo, Mojawapo ya team hizo ni Liverpool na Madrid hawa wanaweza yumba hata ligi za kwao lakini huku wakapata matokeo mpaka nusu au final, safari hii Madrid waliangukia pua
 
Back
Top Bottom