Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Siku nyingine msijaribu kumuua Liver UCL akiwa na game ngumu,muwe mnamuua akicheza na team dhaifu...................Poleni nyote mliomuua
 
Hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku nyingine msijaribu kumuua Liver UCL akiwa na game ngumu,muwe mnamuua akicheza na team dhaifu...................Poleni nyote mliomuua
Single 4 kati ya 6 zimeraruka vibayaa
Liverpool kiboko
 
******BET WOOOOON***,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bayern hayuko form kabisa, hajacheza kiushindani.

Timu haina morali

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hayo mashindano kuna team huwa wana bahati nayo mnoo, Mojawapo ya team hizo ni Liverpool na Madrid hawa wanaweza yumba hata ligi za kwao lakini huku wakapata matokeo mpaka nusu au final, safari hii Madrid waliangukia pua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…