Naona Ronaldo hata Sub hayupo...Piatek kashahama Genoa so game hiyo ushind kwa juve
1xbet
Huu mkeka unaweza chanika vibayaaa😂 yani katim kamoja tu
Hi app inaitwaje mkuu???
We badala ya kuchukua tip inayo kufaa una ombea mkeka uchanike wabongo sisiHuu mkeka unaweza chanika vibayaaa[emoji23] yani katim kamoja tu
1xbet
Mkuu nimekupa tu tahadhari ili usiweke tumaini lote uweke na mingine, ndio maana nikasema kwamba unaweza kuchanika vibaya yani katim kamoja tu.We badala ya kuchukua tip inayo kufaa una ombea mkeka uchanike wabongo sisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko safi Mkuu Kwa Copenhagen MTU anaweza pia kuweka GG, manaake Copenhagen akiamua kuharisha anaharisha kweli.