Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahaaa kaka sio kila siku inakuwa hivyo kiukweli betting ni timing tu na bahati, leo utakula option fulani, kesho hiyohiyo option utapigwa tu!!
Wadau kuna kautafiti kadogo nimekafanya
Kanaweza kuwa na afya kwa in play.......


Ligi kubwa hasa Italy, EPL na Bundesliga zinatema sana in play......


Tofauti na viligi vidogo ambavyo hata takwimu tu havina

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…