Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,702
- 2,287
Leo ni leo.. Bet lostEverton vs Chelsea.. Over 0.5 goals First half.
Kwa kuwa Gala kachomoa goli 2 zote, ngoja tumuamini kwa ushindi ... odds 2.8
Sent using Jamii Forums mobile app
Na apigwe tu! Kaninyima pesa half time.. Samahani lakini kwa wapenzi wa Chelsea!!
Yani nampitaga tu leo sijui imekuaje itakua vipigo vimenichanganya nikajikuta naselect anyway hii siku ipite tuNa apigwe tu! Kaninyima pesa half time.. Samahani lakini kwa wapenzi wa Chelsea!!
Inatokea tu mkuu.. Pole kwa vipigo, sio wewe peke yako.. leo tumepigwa wengi sana.Yani nampitaga tu leo sijui imekuaje itakua vipigo vimenichanganya nikajikuta naselect anyway hii siku ipite tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee! Naona unatembea kwa 5G mkuu
Aiseee! Naona unatembea kwa 5G mkuu
Mkuu mi toka jana nilianza na Vita club jumlisha na leo ndo balaa alichana juve nikasuka akachana atalanta nikaweka mwingine ndo huo unapumulia mashineInatokea tu mkuu.. Pole kwa vipigo, sio wewe peke yako.. leo tumepigwa wengi sana.
Aisee hiii noma leo, Inplay inamaliza pesa mamaeeeeeeeeeee
Kabisa mkuu acha niache tu nilikua nataka nitege Barcelona na psg ila nimeghairiEverton 2-0 Chelsea ...
Today is one of those days ... ukijaribu kukibizana na hasara yani ndio unapoteza zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app