Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkuu naomba unielekeze jinsi ya kuverify account yangu pale bwin mana nilideposit na sasa nina pesa nyingi ila ku withdraw ndo ishu
 
mkuu kwanini usibet kwenye makampuni kama marathon au unibet ambayo unabet kuanzia dola 1 kwa online

mkuu naomba unielekeze jinsi ya kuverify account yangu pale bwin mana nilideposit na sasa nina pesa nyingi ila ku withdraw ndo ishu​
 
mkuu kwanini usibet kwenye makampuni kama marathon au unibet ambayo unabet kuanzia dola 1 kwa online
mkuu hizo marathonbet na unibet haziitaji proof of identity kutoka kwa wateja wao kama wafanyavyo bet365 au bwin?​
 
Bayern nlimuua ila mkeka kaucha AIK...nmekosa laki 5 nyepesiii
 
byern amekula laki4 zangu, mamaye zake gurdiola:angry:
niliweka 400 nipate 800:Cry:
uwezo wa kushinda walikuwa nao ila gurdiola hakutaka kushinda hii match sijui:angry:

Pole sana mkuu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
byern amekula laki4 zangu, mamaye zake gurdiola:angry:
niliweka 400 nipate 800:Cry:
uwezo wa kushinda walikuwa nao ila gurdiola hakutaka kushinda hii match sijui:angry:

Huo ndo uoangaji matokeo unavyokuwa tehhhhh
 
Nasubiria hii week ya epl. Hizi nyingine nimetulia tii maana nikilio
 
Back
Top Bottom