Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Rangers,malmo,haka,gais,ayr,dundee utd,hoffenheim,wycombe,watfod,dortmund....akishinda dortmund mkeka umekamilika nakula hela nzuri...leo naweza kulala na laki 6 ya meridian
 
Rangers,malmo,haka,gais,ayr,dundee utd,hoffenheim,wycombe,watfod,dortmund....akishinda dortmund mkeka umekamilika nakula hela nzuri...leo naweza kulala na laki 6 ya meridian

tengeneza mwingine muue dotmund kwa maana ya kulinda
 
Rangers,malmo,haka,gais,ayr,dundee utd,hoffenheim,wycombe,watfod,dortmund....akishinda dortmund mkeka umekamilika nakula hela nzuri...leo naweza kulala na laki 6 ya meridian

Oooooh
Uliweka bei ngapi mkuuu? Mie nataka nijilipue kesho leo mikeka yote chali
 
derby...malmo..preston....dundee....swansea.....wigan....na bristol rovers...... buahaaahaaaaa leo kanirudishia 106800....... mkeka mwingine umeshakufa na sare ya standard league....alikua kabaki yeye na dortmund.....
 
Attachments

  • 2014-08-23--09_06_09.jpg
    2014-08-23--09_06_09.jpg
    17.7 KB · Views: 63
  • 2014-08-23--09_06_45.jpg
    2014-08-23--09_06_45.jpg
    11.3 KB · Views: 53
Kesho mkeka huu hapa
Totternham
Barcelona
Verona
Sampdoria
Lazio

Najilipua na 20,000/=

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Angalizo timu hizi usibet kesho

Benfica
Monaco
Manchester
Vila real

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Jana siku mbaya kibiashara, leo acha nitafte game za asubuhi asubuhi,
 
Back
Top Bottom