Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yaani raha sana kubet timu mbili za uhakika unapiga hela fresh kabisa

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Mzaz umepga sh ngap, yan leo nlieka ela kwnye akaunt af nkataka kubet akili ikakataa matokeo zmekuja draw za kutosha tu
 
Weka team mbili za uhakika weka hata elfu 50 hapo hukosi hela.. Just imagine unaingiza faida maybe ya 50000 au 80000 kila siku syo biashara ndogo hyo badala ya kusibiri kula milion kwa sh 1000 utakesha tu.... Kumbuka kuinvest ni kuwa tayari kuoata hasara.. Hivyo usiogope kuweka hela nyingi kwa team chache kama unataka nyingi...
Badala ya kuweka hela ndogo na team nyingiiiiiii hapo kukosa ni 98%
 
Mjomba timu 2? Mie naweka timu 1 kila siku but still napigwa za uso,
Ntatusua soon naijua style yangu
 
Mjomba timu 2? Mie naweka timu 1 kila siku but still napigwa za uso,
Ntatusua soon naijua style yangu

Hahaha polr sana mi hakuna siku niliyoweka team mbili nikakosa.. Maana options ziko nyingi... Ila nikiwekaga team kufikia 5 ndo nakosa.. Huwez kosa mechi mbili kwa ratiba yenye mechi 100
 
sasa mbna hatushirikiani kwenye hizo mech...kwa mfano kama unaweka team mbili na unashinda kila siku inabid unatutupia na sisi huku tutembelee mkeka huo
 
nmekuwa nkitafta discussions kama hizi kwa mda sana.... sana sana nlikuwa natumia za wazungu.leo nkaona haiwezekani wabongo hatuwez kuwa nyuma ndo nimewapata.kumbe mpo mda tu
 
kuonyesha mi sio mchoyo.... huwa na bet sana via premier betting...na huwa natumia sites kama prosoccer.gr prosoccer.ws na prosoccer.eu kuangalia wanatabiri vipi kidogo inanisaidia kumuotea. kama jana nimeweka timu tatu... kuban-lokomotiv aik-haken rostov-mordovya kwa elfu moja nimepata elfu hamsini na mia tisa.
ila niliweka washinde tofauti ya goli moja.:cool2:
 
Dortmund kaniua wknd!!!
Niliweka laki 1!!!!
Cna mtajiiii!!!!
Nmechoka had nahis kaz haiend leo!!!!
 
sasa kama vipi tushauriane za leo...mi ndo nazitafta hapa 3 zingine nikaweke japo elfu 20
 
Daah broo laki.. Pole sana.. Mi dau langu la juu ni 20

lro sijapitia ratiba.. Ila plan yangu ni ile ile kama siku zote.. Team tatu dau elfu 10 au 20.nikiwa na mikeka miwili faida ya maana
 
Hadi sasa mkeka wangu umekaa poa. Thanks kwa Monaco na Barca, Bado Atlet, Chelsea
 
Bochum msibet nawashauri
Atletico msibet
Man city msibet

Bet zifuatazo
Forest green sawa
Barnet sawa

Norway kuna timu inaitwa Tromso sawa
Poland - Gks sawa
real madrid sawa

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom