Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naaapa kamwe sitakuja weka timu za ufaransa
Yaani raha sana kubet timu mbili za uhakika unapiga hela fresh kabisa
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Weka team mbili za uhakika weka hata elfu 50 hapo hukosi hela.. Just imagine unaingiza faida maybe ya 50000 au 80000 kila siku syo biashara ndogo hyo badala ya kusibiri kula milion kwa sh 1000 utakesha tu.... Kumbuka kuinvest ni kuwa tayari kuoata hasara.. Hivyo usiogope kuweka hela nyingi kwa team chache kama unataka nyingi...
Badala ya kuweka hela ndogo na team nyingiiiiiii hapo kukosa ni 98%
Mjomba timu 2? Mie naweka timu 1 kila siku but still napigwa za uso,
Ntatusua soon naijua style yangu
Hadi sasa mkeka wangu umekaa poa. Thanks kwa Monaco na Barca, Bado Atlet, Chelsea
Chelsea si walishacheza