Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
- Thread starter
- #3,561
return 236,000
hongera umebakiza madrid tu! Ila ramos atakupa hela leo ana mzuka sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
return 236,000
karibia kila mtu mara yake ya kwanza kubet anapigwa..
hahah hata mie debut yangu nilipigwa za uso
Debut yangu nakumbuka ilikua mwaka jana uefa group stage chelsea alivyopigwa na basel round ya kwanza stamford bridge akanikosesha 150,000 ikanipa mzuka wa kuendelea,,..
aisee mzee mwenzangu baharia kama unacheza live tengeneza mkeka wa kulinda mtaji maana hawa sociedad mda wowote togwa litaingia inzi
C.E.O atalifanyia kazi, tuanzishe group yetu ya whatsapp, maana sometimes kuna watu wanapiga mpaka ligi za vietnam na mongolia wakati wengine tunakoroma heheh
Kama nilivyosema.. Naweka timu moja then natia mzigo wa kutosha.. PSV mchana kanipa 55.. PSG hadi sasa anaongoza 4 nasubiri 48. Hesabu za haraka haraka nalala na 103
Kama nilivyosema.. Naweka timu moja then natia mzigo wa kutosha.. PSV mchana kanipa 55.. PSG hadi sasa anaongoza 4 nasubiri 48. Hesabu za haraka haraka nalala na 103
duh, idea nzuri
FT Real Sociedad 4 - 2 Real Madrid
Mkuu hizi mambo za kuweka buku 5 ule laki Mi staki tena.. Kila siku timu moja tu inanichania. Sasa natembea na mwendo huo tu
shkrani zangu ziende kwa hawa jamaa kwa kucheza vizuri bila ya kusababisha red card...tsh 30000 imezaa 32000! about 70000 as a profit in total over this weekend sio mbaya!!!
Genoa 1:2 Napoli
Sassuolo 1:1 Cagliari
Cesena 1:0 Parma
Safi mkuu.. Hii ya red card hata mi ntaitafuta. Naona pesa ya bure kabisa unachukua hapo
shkrani zangu ziende kwa hawa jamaa kwa kucheza vizuri bila ya kusababisha red card...tsh 30000 imezaa 32000! about 70000 as a profit in total over this weekend sio mbaya!!!
Genoa 1:2 Napoli
Sassuolo 1:1 Cagliari
Cesena 1:0 Parma
hapo fafanua vizur yani buku 30 imeleta 32 au ni faida tu
mkuu elf30 imezaa el32 au elf3 imezaa elf32?