Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu hebu nieleweshe huko paddypower una withdraw pesa kwa njia zipi?

Kwa njia ile ile ulodeposit, kama ulideposit kwa paypal watakulipa through paypal kama debit/credit card watakulipia humo
 
yaani leo huyu jamaa akiruka leo sichezi miezi miwili... RUSSIA UKRAINE IRELAND ENGLAND HONDURAS COASTA RICA..... 25000 ......amalize mtaji wote .......*****.......
 
wale wa over 1.5...kuna ligi kama za Argentina...dah, kule magoli hamnaga kabisa yani unaweza kuta over 1.5 goals odds zake ni 0.60...si ya kugusa hii
 
wale wa over 1.5...kuna ligi kama za Argentina...dah, kule magoli hamnaga kabisa yani unaweza kuta over 1.5 goals odds zake ni 0.60...si ya kugusa hii

jana kuna mpuuzi.....perana katoa 0-0 ..... niwepa peke yao double chance...... nkapigwa za uso..... hapo preston keshantia za mbavu 1.5+...katoa 1-0..... dah nkasema poA .....nkaamka nawajapa na wakorea wazeee wa huuu haaa..... nkasema lazima akae...... nkachukua wajapa wote wa4 2+ .....URAWA KASHINDWA..... KATOA 0-.0...... WAKOREA NAO.AKATOA 1-0.... ... DAH...... KULIWA KULIWA......HILI KNOCK OUT .....HATARI...... NILIPIGA COUNTER ZA LIVE NKAMPIGA 300000 MTAJI 30000 TANGU JUZI NASHINDA LIVE NABET KWENYE SIMU... point 3 au 4 naweka 5000 .... KARUDISHA YOOTE ...MZEEEE ...... soka noma sna....UKRAINE HUYOOOO KASARE HALF.....
 
Wakuu ngoja niwape hii.. Nimeweka 25000 kwenye meridian nimekuta imeingia 50000.. Yani imedouble. Ebu angalieni na ninyi usikute ni mitambo imeloga leo tujipatie pesa za bure
 
Wakuu ngoja niwape hii.. Nimeweka 25000 kwenye meridian nimekuta imeingia 50000.. Yani imedouble. Ebu angalieni na ninyi usikute ni mitambo imeloga leo tujipatie pesa za bure

hahaha ndo ushakula hapo
 
Wazee wenzangu hali yangu ni mbaya sana mpaka naona uvivu kwenda kuoga wife ndio ana nifariji hata asijue kilichonipata,
 
Hahahah Russia kamaliza, Ukraine, German, England ndo twawasubiria sasa
 
Betting ina ugumu wake ila angalau sasa mmejitokeza huko mlipokuwa mmejificha kwani hapa tulikuwa wachache active baada ya kuliwa liwa sana naona mambo yamerudi poaaa
 
Haya bana ngoja na mie sasa niende kwenye live bet kama kawaida mimi na simu simu na mimi.
Lazima kieleweke mambo ya kutaka kula milioni hapana hapa hata 5000 ina umuhimu wake
 
Back
Top Bottom