Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

yann wakuu nmekuja kugundua live in play basketbal zina odd kibaooo afu probability kubwa ni kushindaaa in meridianbet ,,,,,,,,,,,,m ndo naposhinda per day nasepa si chin ya 10000

Hivi hii in play ndio inachezwa vp mkuu.
 
Kila la kheri Wazee Wenzangu Wote..
 
Attachments

  • 1409995351834.jpg
    1409995351834.jpg
    70.2 KB · Views: 95
Mm niliweka buku 2 nikaweka cap uruguay s.korea na Belgium vipI nmekula au...? Ebu nichekien matokeo
 
Mm niliweka buku 2 nikaweka cap uruguay s.korea na Belgium vipI nmekula au...? Ebu nichekien matokeo

Hongera timu zako zote zimetoa cap, ila umeniangusha mkuu, weka live score kwenye simu yako uwe unachungulia matokeo kiulaini tu bila shida.
 
Ok sawa kaka c unajua mgeni kwenye ulimwengu wa mbet haya sasa mpunga nachukuaje xaxa
 
Hiyo mbet sijawahi itumia mkuu, ila siamini kama ulibet bila kujua mpunga wako unaupataje mkeka ukitiki.
 
Ok mkuu, ila kuna kama watu 3 wameni-PM wanataka hvyo coz wanaogopa kuzungumzia mambo ya bettings hapa, wake zao wakiwaona humu itakua balaa !!! Hahahahahahaha

Heeheehee, hao inamaana wanashare ID na wake zao.?
 
Hakuna office nzuri za meridian kama za shoppers plaza
Ngoja nikafanye assignment shoppers lazima kieleweke
 
Download hizi apps zitakusaidia sana
Goal live hii naitumia kuangalia mechi,mechi za back to back,table etc
Olbg hii hutumika kuangalia tips za betting mie huwa naitumia sana tu.
 
Hakuna office nzuri za meridian kama za shoppers plaza
Ngoja nikafanye assignment shoppers lazima kieleweke

Mkuu hebu weka timu 4 za uhakika zenye odd nzuri nijilipue boss na buku 20. Jana nimekosa milioni 3 werder bremen kaua mkeka. Nikaubet fasta kwa kuipa Brazil, Gabon, na Guinea. Nikapiga kilo 2 ya fasta.

Kuanzia na cameroon vipi anadhaminika.?
 
Hapa shoppers pametulia sana hakuna mijasho sana kwani ni pakubwa ilr mbaya. TV kibao ziko 31
 
Game ya cameroon na DRC shilingi tuweke wapi wakuu. Maana naona cameroon kapewa 2.6
 
Mkuu hebu weka timu 4 za uhakika zenye odd nzuri nijilipue boss na buku 20. Jana nimekosa milioni 3 werder bremen kaua mkeka. Nikaubet fasta kwa kuipa Brazil, Gabon, na Guinea. Nikapiga kilo 2 ya fasta.

Kuanzia na cameroon vipi anadhaminika.?

Peterbrough kapewa 96% win
Bristol city, bradford wamepewa 87% win
Barnet na shrewbury wamepewa 97&98% win respectively
Southend kapewa 92
 
Hapa shoppers naona kuna watu wapo wanakufundisha kubet kabisa kwa wale wapyaaaa
 
Hapa shoppers naona kuna watu wapo wanakufundisha kubet kabisa kwa wale wapyaaaa

Mkuu unanitamanisha nije hapo nionane na wadau. Ngoja nicheki ustaarabu, nikiweza nitimbe kuja kupoteza weekend.
 
Mkuu unanitamanisha nije hapo nionane na wadau. Ngoja nicheki ustaarabu, nikiweza nitimbe kuja kupoteza weekend.

Yaani hapa kuna space kubwa hadi raha ni weee tu. Mie sasa sitaenda kariakoo tena maana kule fujo
 
Back
Top Bottom