east36
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,306
- 492
Hahah we jamaa wawaza nyama choma mie hela zangu zimekatalia Voda hadi sasa baada ya kuzihamishia Barclays, eti watamirudishia baada ya saa 24
Duuuh the nyama choma festivo itakua ishaisha tayari, anyway ipo siku hawa wabetishaji watalia na kusaga meno sana,,..
Kama usd 90 hivi.
Daaah sio mbaya week ijayo ndugu kama sio j4 copy kama ulivyo kama leo yaan itakua pesa, najua leo nimekosa labda kwa kuwa championship haikuwepo..