Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nina hasira sana, Real kanikosesha 514,000
Sitabet tena kwa Real.
 

Attachments

  • 1410676677675.jpg
    1410676677675.jpg
    94.8 KB · Views: 108
Last edited by a moderator:
Mie nilikua nasubiria madrid na psg wote wameharibu weekend, nimebakiwa na mtaji tu ndo nautupa leo
 
Usiiamini madrid kwa sasa. Wana tatizo kubwa sana ambalo dawa hakuna. Ishu ya makelele inajirudia tena.

Ile timu hata mie nimeacha ishabikia maana President kaingilia sana, kumuuza Di Maria ilikuwa ni wrong move, kumuachia Alonso ilikuwa mbaya zaidi. Kumnunua James ni mbaya kuliko zote kabisa. Wacha wafunge, mie siangalii mechi zao tena
 
Kama unamwamini atashinda bet at ur own risky. . Ila kaa ujue MUFC ana mashabiki wengi ndo mana wanampa ushindi.
 

Attachments

  • 1410683450720.jpg
    1410683450720.jpg
    39.1 KB · Views: 107
What costs me alot is the slowness of the internet, otherwise this business would have been a good one
 
Leo naona marekani na serbia basketball saa nne.

CC Biohazard
 
Back
Top Bottom