Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamaa kapiga €23,383. Dah kuna watu wana bahati
 

Attachments

  • 1410815268243.jpg
    1410815268243.jpg
    51.3 KB · Views: 141
Jmn naomba msaada wa kucheza online meridian pc yangu imezingua. Natumia huawei y 530.
 
Jmn naomba msaada wa kucheza online meridian pc yangu imezingua. Natumia huawei y 530.

Mkuu kama kawaida connect net na ingia google andika meridian itakuja site yao log in kama kawaida anza kujaribu bahat yako hamna tofaut na pc me mwenyewee natumia simu sony nafanya hivyo mkuu
 
Nataka kuwa timu za hela
Reading
Liverpool
Borussia dortmund
Bayer leverkusen
Juventus
Atletico madrid
Benifica
 
shrewbury...bristol city.....atl madrid....cambridge ...kidderminster....yeovil...bournemouth.....watford......unayemuogopa mtoe....... 5000...500000
 
Nataka kuwa timu za hela
Reading
Liverpool
Borussia dortmund
Bayer leverkusen
Juventus
Atletico madrid
Benifica

sasa liver si umtoe tu 1.18 sio point..... mara kasare....unalia kwa vipoint vidogoooo........ bora aniue mtu anawalau 1.5......kama vp liver mcheze 3+…
 
Back
Top Bottom