Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

jamani naomba kufahamu namna ya kudraw pesa kwenye account yangu ya iplay8casino. nimejaribu kudraw wamenitumia reference number sasa nimeshindwa kuendelea na hatua inayo fuata
 
jamani naomba kufahamu namna ya kudraw pesa kwenye account yangu ya iplay8casino. nimejaribu kudraw wamenitumia reference number sasa nimeshindwa kuendelea na hatua inayo fuata

hapo sasa ni kuskilizia kama saa 48 watakutumia kwa hiyo njia uliyo withdraw.
 
Nkitaka dfrence ya one goal meridian naweka ipi?? Maana naona handicap optionz chungu nzma had znachanganya
 
M-BET,hua unachukua point unazizidisha ndio unachokipata inakua kwa buku so ukiongeza dau ndio inaongeza,sasa sijajua jinsi ya kupiga kwenye online ya iplay8casino,jinc ya calculate na kujua dau kabla sijaulipia msaada tafadhali
 
hili ni wazo la leo...... niweke 3+ au 2+ ........ waz.jpeg
 
Nachopendea online hata ukila 1527962.25 ni yako haina makato kama wanakatayo ma-cashier wawadosi utaskia mia mbili sina.pumbav zenu .mbna nkipungukiwa 50 hamsaidii
 
Makampuni amepigwa tanji aka paranja kuingia New Africa.....

sababu ni nini??
 
Jamani habari ya red card Italy achaneni nayo, jana kulikuwa na card na penalty Parma vs Udinese.
 
Timu za Scotland za ki.snge sana

rangers alichana? pole
nashukuru jana sikubet, kama ningebet lazima ningemuweka rangers kwenye mkeka, jana nilijibetia tu mwenyewe kwa hisia, niliowawaza wote walikuwa fresh ispokua rangers.

pia huko scotland leo anacheza aberdeen v st miren, aberdeen anaweza shinda:cool2:
 
Jamani leo wapi maana wiki nzima nimewapa wazungu, waisrael na wahindi hela za bure kabisa kitimu kimoja kimoja kinaharibu kila kitu. Rangers jana mlichofanya siwasamehi
 
Back
Top Bottom