Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

tips.PNG
arsenal win
chelsea win & 3+
everton win & gg
PSG double chance x2
atl.madrid home 2+
juventus goal 2-5
bey.munchen win & gg
barcelona second half 2+
inter no penaty
lokomoti moscow IIGG
man.city win & 3+
fiorentina goals 3+
totenham 90 min gg
 
Wazee wenzangu, hii ni tip ya Basket asubuhi

Basket Bett.jpg

Kama kawaida, Bet responsibly.

Halafu kuna game ya Chicago Bulls (Noah, Rose, Gasol and Co) vs Cleveland Cav (LBJ, Irving K, Kevin Love and Co), Cleveland wamepewa odd ya 2.65. Hii game naiwaza sana kujilipua nayo.
 
Wazee wenzangu, hii ni tip ya Basket asubuhi

View attachment 197923

Kama kawaida, Bet responsibly.

Halafu kuna game ya Chicago Bulls (Noah, Rose, Gasol and Co) vs Cleveland Cav (LBJ, Irving K, Kevin Love and Co), Cleveland wamepewa odd ya 2.65. Hii game naiwaza sana kujilipua nayo.

chicago wapo fit sahivi. Labda jaribu under/over ila sijajua odds za over
 
Nimeiona game ya Chicago vs NY Knicks! Wamemkimbiza NY mbaya, hafu NY Knicks kamfunga Cleveland jana, napata msukumo wa kwamba James hawezi kukubali 2 consecutive opening defeats!

Hafu preseason Cleveland alimpiga Chicago!
 
hivi meridian wameweka under/over ngap?
 
hivi meridian wameweka under/over ngap?

Odd ziko kwenye 1.75 - 1.85; game 6 zote za kesho asubuhi zina under na over! Mi nataka nicheze under na over za 1st half kama nilivoonyesha pale juu, nafanya assumption ya kwamba 1 na 2 quarters mastar wanacheza dkk chache ukilinganisha na Q4, so likelihood ya point kuwa chache ni kubwa 1st half.
 
ila kila quarter ni dk 12, Q4 pumzi inakua imekata kwahiyo watu wanatupia sana 3pt
 
msaada timu za kesho nipeni ushauri
leicester win
westham utd win
arsenal win
chealsea win
everton win
southampton win
new castle draw
 
msaada timu za kesho nipeni ushauri
leicester win
westham utd win
arsenal win
chealsea win
everton win
southampton win
new castle draw

lecester city kumfunga west brom ni ngum kidogo. Pia westham kumfunga stoke ugenin nayo ni ngum. Hapa cheza gg
 
ila kila quarter ni dk 12, Q4 pumzi inakua imekata kwahiyo watu wanatupia sana 3pt

Sure, ila hii mijamaa haitabiriki, Quarter nyingi wamezipa pt 50-53, utashangaa ukibet under watu wanavuka, ukiweka over watu wanambwela! Kamali ni kamali tu mkuu.

Uzuri wa NBA ESPN wanakuwa wanaonyesha muda kila game inavyoendelea, angalau unaweza ukaona flow ya game.
 
Back
Top Bottom