Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapa ni mechi kwa ujumla..... sio timu nnayoitaja ..sawaaaasawaaaaa.......bournmouth ...derby ...watford....lincoln...ipswich...blackburn..reading....swindown..braintree.... atletico...basel...juve na benfica.... hizi mechi zote....kwa formula zote za over/under hizi mechi zinatoa 2+...... ukiweka wote hao 3000 ni 72...... unaemuogopa mtoe....ila nahakika zinatoa goli mbili......
i "click match" au click kule kwenye options ...mwisho kabisa kulia.... sometym unakuta 32...40 ..... humo ndio unakuta options zote GG NGG IGG IIGG GGGG REDCARD YELLOWS...... NATUMAINI USHAWAHI FUNGUA..... SASA NENDA KWENYE MATCH GOALS KUNA 0-3 ...0-2...0-1...4+ NA KADHALIKA.....Hivi 2+ kwa online meridian unawekaje.? Maana naona 3+ tuu
Karibuni tuinvest katika soko la hisa la betting... Iwe meridian,m-bet,ladbrokerz, iplay8casino n.k. Kwa m-bet voda ni *149*19#. Kwa meridian online ingia www.meridian.co.tz then jaza fom yao halafu watakutumia link katika e-mail yako ili kuactivate account yako, ukishafungua hiyo link ndo tayari ushajiunga. Ukitaka kudeposit au kuwithidraw mzigo kwa meridian njia ya m-pesa chek page namba 205 ktk thread hii.
Bonyeza menyu yako ya mpesa. press number 4 kulipa kwa mpesa then press number 4 tena kuingiza number ya kampuni.Ingiza number ya kampuni ya meridiani ni 170066.Ingiza kumbukumbu number ya malipo andika jina ulilojisajilia meridian. then nafikiri kwengine unaweza malizia tu.Nawezaje kuricharge meridian kwa njia ya m-pesa... .. naona hapo jamaa ameandika kuna maelezo page ya 205 ila naona thread ina page 128 tu.. help please
Bonyeza menyu yako ya mpesa. press number 4 kulipa kwa mpesa then press number 4 tena kuingiza number ya kampuni.Ingiza number ya kampuni ya meridiani ni 170066.Ingiza kumbukumbu number ya malipo andika jina ulilojisajilia meridian. then nafikiri kwengine unaweza malizia tu.
Wakuu naomba msaada wa jinsi ya kuitumia bonus ya meridian.. Ina Sheria zozote?
karibu sanaAsante mkuu
zenith hayumo humo....sasa kama ulimuongeza...... Itakulahapa ni mechi kwa ujumla..... Sio timu nnayoitaja ..sawaaaasawaaaaa.......bournmouth ...derby ...watford....lincoln...ipswich...blackburn..reading....swindown..braintree.... Atletico...basel...juve na benfica.... Hizi mechi zote....kwa formula zote za over/under hizi mechi zinatoa 2+...... Ukiweka wote hao 3000 ni 72...... Unaemuogopa mtoe....ila nahakika zinatoa goli mbili......
mkishinda tukumbukaneeee....japo 1000 la kesho kubetzenith hayumo humo....sasa kama ulimuongeza...... Itakula
KWENYE ZILE CALCULATIONS.... ZENITH ALIISHIA 1.9 ....NKAMUOGAPA.... 2+...... ILANLIZOWEKA JUU HAPO... ZOOOTE ZINA 2.5+ kama zenith kafika..... basi hawa wengine watafika.... NILIONYA.... ZENITH NA BENFICA NI MECHI NGUMU SANA...... MATOKEO YA ZENITH MNAYO..TUSUBIRI BENFICA...."REJEA MAELEZO YANGU MCHANA"......mkishinda tukumbukaneeee....japo 1000 la kesho kubet
zenittttttttrtt
KWENYE ZILE CALCULATIONS.... ZENITH ALIISHIA 1.9 ....NKAMUOGAPA.... 2+...... ILANLIZOWEKA JUU HAPO... ZOOOTE ZINA 2.5+ kama zenith kafika..... basi hawa wengine watafika.... NILIONYA.... ZENITH NA BENFICA NI MECHI NGUMU SANA...... MATOKEO YA ZENITH MNAYO..TUSUBIRI BENFICA...."REJEA MAELEZO YANGU MCHANA"......
KWENYE ZILE CALCULATIONS.... ZENITH ALIISHIA 1.9 ....NKAMUOGAPA.... 2+...... ILANLIZOWEKA JUU HAPO... ZOOOTE ZINA 2.5+ kama zenith kafika..... basi hawa wengine watafika.... NILIONYA.... ZENITH NA BENFICA NI MECHI NGUMU SANA...... MATOKEO YA ZENITH MNAYO..TUSUBIRI BENFICA...."REJEA MAELEZO YANGU MCHANA"......
UNACHUKUA MWENYEJI (kafunga ngapi nyumbani unagawanya na mechi alizocheza nyumbani ... unachukua kafungwa ngapi nyumbani unagawanya na mechi za nyumbani...UNAZIJUMLISHA.... unapata WASTANI WA KUFUNGA NA KUFUNGWA AKIWA NYUMBANI).... UNAMCHKUA WA UGENIN( NAE UNACHUKUA KAFUNGA NGAPI AWAY ....UNAGAWANYA KWA MECHI.... UNACHUKUA TENA KAFUNGWA NGAPI AWAY UNAGAWANYA KWA MECHI ZA AWAY... UNAJUMLISHA PIA).... UNAPATA WASTANI WA TIMU YA AWAY KUFUNGWA NA KUFUNGA..... BAADA YA HAPO..... UNAJUMLISHA ZILE WASTANI ZA AWAY NA HOME... UNAGAWANYA KWA MBILI..... IKIVUKA 1.5 ....KUNA ASILIMIA KUBWA YA GOLI MBILI.... SASA MIMI NACHUKUAGA ZINAZOANZI 3+....KWAMBA KUTAKUWA NA GOLI 3+....NAWAPA 2+ HAURUKIIIII.... ITOKEE TU KIMCHEoHeeeheeheee, Duh, kaka hizo calculations zinakuwaje tena.?
UNACHUKUA MWENYEJI (kafunga ngapi nyumbani unagawanya na mechi alizocheza nyumbani ... unachukua kafungwa ngapi nyumbani unagawanya na mechi za nyumbani...UNAZIJUMLISHA.... unapata WASTANI WA KUFUNGA NA KUFUNGWA AKIWA NYUMBANI).... UNAMCHKUA WA UGENIN( NAE UNACHUKUA KAFUNGA NGAPI AWAY ....UNAGAWANYA KWA MECHI.... UNACHUKUA TENA KAFUNGWA NGAPI AWAY UNAGAWANYA KWA MECHI ZA AWAY... UNAJUMLISHA PIA).... UNAPATA WASTANI WA TIMU YA AWAY KUFUNGWA NA KUFUNGA..... BAADA YA HAPO..... UNAJUMLISHA ZILE WASTANI ZA AWAY NA HOME... UNAGAWANYA KWA MBILI..... IKIVUKA 1.5 ....KUNA ASILIMIA KUBWA YA GOLI MBILI.... SASA MIMI NACHUKUAGA ZINAZOANZI 3+....KWAMBA KUTAKUWA NA GOLI 3+....NAWAPA 2+ HAURUKIIIII.... ITOKEE TU KIMCHEo