Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

derby over 2.5
middlesbrough both team to score
sv horn over 1.5
zenit over 2.5
 
hapa ni mechi kwa ujumla..... sio timu nnayoitaja ..sawaaaasawaaaaa.......bournmouth ...derby ...watford....lincoln...ipswich...blackburn..reading....swindown..braintree.... atletico...basel...juve na benfica.... hizi mechi zote....kwa formula zote za over/under hizi mechi zinatoa 2+...... ukiweka wote hao 3000 ni 72...... unaemuogopa mtoe....ila nahakika zinatoa goli mbili......

Hivi 2+ kwa online meridian unawekaje.? Maana naona 3+ tuu
 
Najaribu hapa leo..,,
 
Attachments

  • 1415117512031.jpg
    1415117512031.jpg
    76.2 KB · Views: 101
Hivi 2+ kwa online meridian unawekaje.? Maana naona 3+ tuu
i "click match" au click kule kwenye options ...mwisho kabisa kulia.... sometym unakuta 32...40 ..... humo ndio unakuta options zote GG NGG IGG IIGG GGGG REDCARD YELLOWS...... NATUMAINI USHAWAHI FUNGUA..... SASA NENDA KWENYE MATCH GOALS KUNA 0-3 ...0-2...0-1...4+ NA KADHALIKA.....
 
Wakuu naomba msaada wa jinsi ya kuitumia bonus ya meridian.. Ina Sheria zozote?
 
Karibuni tuinvest katika soko la hisa la betting... Iwe meridian,m-bet,ladbrokerz, iplay8casino n.k. Kwa m-bet voda ni *149*19#. Kwa meridian online ingia www.meridian.co.tz then jaza fom yao halafu watakutumia link katika e-mail yako ili kuactivate account yako, ukishafungua hiyo link ndo tayari ushajiunga. Ukitaka kudeposit au kuwithidraw mzigo kwa meridian njia ya m-pesa chek page namba 205 ktk thread hii.

Nawezaje kuricharge meridian kwa njia ya m-pesa... .. naona hapo jamaa ameandika kuna maelezo page ya 205 ila naona thread ina page 128 tu.. help please
 
Bonyeza menyu yako ya mpesa. press number 4 kulipa kwa mpesa then press number 4 tena kuingiza number ya kampuni.Ingiza number ya kampuni ya meridiani ni 170066.Ingiza kumbukumbu number ya malipo andika jina ulilojisajilia meridian. then nafikiri kwengine unaweza malizia tu.
 
Asante mkuu
 
hapa ni mechi kwa ujumla..... Sio timu nnayoitaja ..sawaaaasawaaaaa.......bournmouth ...derby ...watford....lincoln...ipswich...blackburn..reading....swindown..braintree.... Atletico...basel...juve na benfica.... Hizi mechi zote....kwa formula zote za over/under hizi mechi zinatoa 2+...... Ukiweka wote hao 3000 ni 72...... Unaemuogopa mtoe....ila nahakika zinatoa goli mbili......
zenith hayumo humo....sasa kama ulimuongeza...... Itakula
 
mkishinda tukumbukaneeee....japo 1000 la kesho kubet
KWENYE ZILE CALCULATIONS.... ZENITH ALIISHIA 1.9 ....NKAMUOGAPA.... 2+...... ILANLIZOWEKA JUU HAPO... ZOOOTE ZINA 2.5+…………… kama zenith kafika..... basi hawa wengine watafika.... NILIONYA.... ZENITH NA BENFICA NI MECHI NGUMU SANA...... MATOKEO YA ZENITH MNAYO..TUSUBIRI BENFICA...."REJEA MAELEZO YANGU MCHANA"......
 
Heeeheeheee, Duh, kaka hizo calculations zinakuwaje tena.?
 
Zenit na Monaco niliwaua nasubiri Monaco nae
 
Heeeheeheee, Duh, kaka hizo calculations zinakuwaje tena.?
UNACHUKUA MWENYEJI (kafunga ngapi nyumbani unagawanya na mechi alizocheza nyumbani ... unachukua kafungwa ngapi nyumbani unagawanya na mechi za nyumbani...UNAZIJUMLISHA.... unapata WASTANI WA KUFUNGA NA KUFUNGWA AKIWA NYUMBANI).... UNAMCHKUA WA UGENIN( NAE UNACHUKUA KAFUNGA NGAPI AWAY ....UNAGAWANYA KWA MECHI.... UNACHUKUA TENA KAFUNGWA NGAPI AWAY UNAGAWANYA KWA MECHI ZA AWAY... UNAJUMLISHA PIA).... UNAPATA WASTANI WA TIMU YA AWAY KUFUNGWA NA KUFUNGA..... BAADA YA HAPO..... UNAJUMLISHA ZILE WASTANI ZA AWAY NA HOME... UNAGAWANYA KWA MBILI..... IKIVUKA 1.5 ....KUNA ASILIMIA KUBWA YA GOLI MBILI.... SASA MIMI NACHUKUAGA ZINAZOANZI 3+....KWAMBA KUTAKUWA NA GOLI 3+....NAWAPA 2+ …………HAURUKIIIII.... ITOKEE TU KIMCHEo
 
kuna technics nyingi ila hii ndio nyepesi zaidi
 
Back
Top Bottom