Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo ndo giza giza. Zaidi ya buyern na psg sioni timu nyengine hapa
PSG
CHELSEA
MAN CITY
SHAKHATAR
BARCELONA 3+
SHACKLE 2+
 
Hiv ndivyo arsenal alivyo niuwaa
 

Attachments

  • 1415174077353.jpg
    1415174077353.jpg
    87.7 KB · Views: 95
psg chelsea buyern barca shakter zote 3+.... leo
 

Attachments

  • 2014-11-05--11_07_18.jpg
    2014-11-05--11_07_18.jpg
    20.6 KB · Views: 96
aiseeee arsenal ni janga la kimataifa....sijui nimetokanao wapi jana wakati mimi chelsea damu..wamenikeraaaa...
 
Mkuu leo nakufuata ingawaje mikeka yako inakuwaga lazima kuna timu 1 inatibua. Hafu umeona basket jamaa wote wamepiga under isipokuwa Lakers tu,
hatari sana mkuuu..... nakuwaga bize mpaka ofisini wanashangaaa...... kila nikimsachi nauliwa na timu moja ..... sijui nipumzike kwa mda....naona kama napanic....kwa mara ya kwanza namaliza mwezi sijamla.......
 
Ila leo watu watoe analysis jamani. Ya jana tuyasahau uzuri wa hii kitu siku ukipiga unaweza rudisha pesa zako ulizoliwa. Maisha yakasonga
 
Leo shetani wangu ananiambia sporting&fc porto wanashnda kwa tabu sn!Unaonaje hapo andybird.mtoto wa nzi na wengine?
 

Attachments

  • First.jpg
    First.jpg
    19 KB · Views: 119
  • Second.jpg
    Second.jpg
    15.6 KB · Views: 118
  • Last.jpg
    Last.jpg
    15.4 KB · Views: 113
ila fulham....basi tu acha akanipe ukimwi....... blackpool hajawahi shinda away game 7 kasare 2 kapigwa 5... kafunga goli 4 kafungwa 11 ...fulham home kacheza 7 kshinda 3 kasare 1 kafungwa 3 ..... kafunga goli 9 kafungwa 4..... wamekutana mara 4 fulham kashinda moja tatu zote sare..... hakuna mechi ambayo haijatoa 2+………
 

Attachments

  • 2014-11-05--13_59_40.jpg
    2014-11-05--13_59_40.jpg
    35.9 KB · Views: 119
  • ila fulham....basi tu acha akanipe ukimwi....... blackpool hajawahi shinda away game 7 kasare 2 kapigwa 5... kafunga goli 4 kafungwa 11 ...fulham home kacheza 7 kshinda 3 kasare 1 kafungwa 3 ..... kafunga goli 9 kafungwa 4..... wamekutana mara 4 fulham kashinda moja tatu zote sare..... hakuna mechi ambayo haijatoa 2+………
mkuu huyo fulham ungempa GG..Pia hisia zinanijia barca atachana mikeka ya watu leo....yaniiiii roho yangu inakataa kabisaaaaa kumpa barca
 
bet.JPG
bet yangu ya watoto kabla ya wakubwa...aisee huko Kazakhstan Premier Championship kuna game kati ya Aktobe vs Astana... astana kapewa odd 8.00 wakati kwenye hiyo league wanaongoza tena wameshinda game zote tano za mwisho...sijui meridian wamekosea au vip...hembu chekini
 
Back
Top Bottom