Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

jamani wazoefu wa meridian nataka kujua iwapo umebet kwa kutumia bonus account ukapiga mzigo wa maana inawezekana kuutoa kama inavyokua kwenye standard account
 
fiorentina.JPG
sioni tusi linalokutosha wewe fiola wa italy...ndo maana soka lenu linazidi kudidimia kwa kuendekeza ngono.....nyambafu kabisa
 
niliweka mechi za jana zote 2+ kaua dinamo moscow.... wa normal kaua torino .....mamaae
 
jamani wazoefu wa meridian nataka kujua iwapo umebet kwa kutumia bonus account ukapiga mzigo wa maana inawezekana kuutoa kama inavyokua kwenye standard account

Yeah mzigo unatoa kama kawaida
 
Mambo ya cash in yamenikosesha mkwanja wa maana Jana,instead ya kulamba £40 nimeambulia £11
 
Attachments

  • 1415342062378.jpg
    1415342062378.jpg
    78.3 KB · Views: 120
Back
Top Bottom