Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wazee wenzangu hivi kesho wazee wa darajani hawawezi pata goli 2+ ? Kapewa 2.10 odds inantamanisha kujilipua
 
wazee wenzangu mi mgeni humu ila nmekua nikiwafatilia kwa ukaribu mmenisaidia kuapata mtaji kidogo,
msaada wenu tafadhali juu ya option ya ya zero bet
 
Wakuu katika kutafakari simple trick ya kupiga pesa nimeona kuna hizi trick nzuri sana za kupiga pesa. Kuwin ni over 90%. Nazo ni hizi.

1. Kucheza option za magoli. Hii inakuwa nzuri kwa bet365 kwani wao wana option nyingi sana. Na option zenyewe ninazozizungumzia ni match nzima iwe na 1+ ama 2+. 1+ ama 2+ kupatikana katika soka ni kitu cha kawaida sana na most ya matokeo katika soka huishia kwa timu mojawapo kufungwa. Ingawaje hizi option zina odds ndogo zinazorange 1.05 to 1.1 kwa 1+ halikadhalika 1.18 to 1.3 kwa 2+ kutegemeana na match. Hivyo ukichagua say kucheza 1+ match nzima na kuweka timu 10 unaweza pata total odds 2 na kudouble pesa yako. Na ukichagua kuweka 2+ kwa timu 5 pekee waweza jikuta na odds za 5. Kwa njia hii ili ule pesa ya maana inabidi uweke pesa nyingi ambayo itaonekana ukiila. Say laki kuendelea, hii option ya 1+ naona ni best kwani inahitaji shallow analysis ya match kabla ya kuweka mzigo.

2. Kuchanganya timu za michezo mbalimbali. Kwani unaweza changanya mkeka wa basket, hockey, snooker, tenis, volleyball, soka n.k unahitajika kuwa versatile ili upige pesa. Mchezo kama basket mshindi huwa determined kabisa so nao ukiweka timu za kueleweka say timu kumi hukosi total odds ya 3+. Ukiweka mzigo wa kueleweka means pesa inakuwa tripled.

Kauli mbiu yetu ni
"Betting means bussines"

mkuu i option mwake sana mi natumia haswa option za 2+ na 2-5/2-6/2-4 odds zake ni nzur tu
 
muhindi mchawii au... me betting sitokuja niisahau maishani ilinifirisi mpaka sasa nmeyumba kiuchumi ikafika stage nikakata Tamaa kabisa name nikasema sibet tena .but this time nikaona ujinga nikaachana na hizi site za bongo like meridian .wiki nzma nilkaa chin I kuangalia website nzur nikakutana name website mbili ambazo no no deposit bonus nilipewa bonus usd25 nikajilipua yote kwenye game moja 3+ ikaleta USD 58 wakakata bonus yao (25) ikabak 23 nikajilipua tens 3+ game moja ikaja usd45+ ikatiki nikajilipua I2+ a/c ikasoma 98 LA Leo niliweka 3+ nasubiri 186 ..
point Yang n kwamba kuweka timu nyingi zaid ya 3+ utaishia kusema hayaaaa bado mmoja tu /name kumtukana muhindi/ kusema Bahat yake mdos. tujifunze kutokana na makosa sio kusubiri miujiza.... jueni betting yoyote dunian kula ni 18% na kulose 82% kwa wale accumulators... hata km betting n bahat hats double chance uweke match 5 usishangae Mona kukupAsua ..wazo LA Leo jaribuni kucheza michezo rahis bett n zaid ya final scores. bye until next time
 
Site gani hiyo.?
 
Game nyeupe za leo Westham,augsbug,levekusen,southamptn,derby,man u,chelsea,bremen.
 
volendan
guimares
eindhoen fc
spezia
dundee
midstyland
rennes..... Wenye bahati mleee

umeona mkuu andybird..... Huu kwa alieucheza atakua ameuliwa na timu moja tu dundeee...... Yaani nna kimavi kibaya sana cha kuuliwa na timu moja.....
 
Jaaaamani hi si pesa kweli...
Weka 5000...
 
Attachments

  • 1415434927427.jpg
    1415434927427.jpg
    29.6 KB · Views: 152
Back
Top Bottom