Wakuu katika kutafakari simple trick ya kupiga pesa nimeona kuna hizi trick nzuri sana za kupiga pesa. Kuwin ni over 90%. Nazo ni hizi.
1. Kucheza option za magoli. Hii inakuwa nzuri kwa bet365 kwani wao wana option nyingi sana. Na option zenyewe ninazozizungumzia ni match nzima iwe na 1+ ama 2+. 1+ ama 2+ kupatikana katika soka ni kitu cha kawaida sana na most ya matokeo katika soka huishia kwa timu mojawapo kufungwa. Ingawaje hizi option zina odds ndogo zinazorange 1.05 to 1.1 kwa 1+ halikadhalika 1.18 to 1.3 kwa 2+ kutegemeana na match. Hivyo ukichagua say kucheza 1+ match nzima na kuweka timu 10 unaweza pata total odds 2 na kudouble pesa yako. Na ukichagua kuweka 2+ kwa timu 5 pekee waweza jikuta na odds za 5. Kwa njia hii ili ule pesa ya maana inabidi uweke pesa nyingi ambayo itaonekana ukiila. Say laki kuendelea, hii option ya 1+ naona ni best kwani inahitaji shallow analysis ya match kabla ya kuweka mzigo.
2. Kuchanganya timu za michezo mbalimbali. Kwani unaweza changanya mkeka wa basket, hockey, snooker, tenis, volleyball, soka n.k unahitajika kuwa versatile ili upige pesa. Mchezo kama basket mshindi huwa determined kabisa so nao ukiweka timu za kueleweka say timu kumi hukosi total odds ya 3+. Ukiweka mzigo wa kueleweka means pesa inakuwa tripled.
Kauli mbiu yetu ni
"Betting means bussines"