Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mainvesta ivi hakuna hata mmoja aliyepata ule mgao atupunguzie kamtaji ka kupambana na mhindi, maana ule mgao si mchezo.
 
Fuata heraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa


View attachment 205862
marking scheme
Basel vs Madrid 0-1 (1&3+),.........×
atletico 4-0 (GG&3+),....,................×
liva 2-2 (2&3+)………………………………×
zenit vs benfica 0-1 (12) ………………√
malmo vs juve 0-2 (GG&3+)…………×

1/5. 20/100%.... pull up your soks
 
hiyo game ya escrow ni derby hiyo km ukitka hela weka
PAC 2+/H2+
au IPTL win from behind
ukishindwa tuisibil kwenye live in play 27 NOV SAA 3 asbh tuone mashambulizi upande Wa serikal km mashambulizi yao yatazaa matunda maana kiungo wamemsimamisha DAN WELBEEEEK
 
Humu kunawatabiri wazuri sana,.shukran ziende kwa Raimundo na Rockcity native.mmenipa zavocha wiki hii����
 
Back
Top Bottom