Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah,Leo yamenikuta nduguzangu.polisi wamenikamata nikiwa naenda kuchukua changu kwamzungu eti kiss mwenye ofisi hanakibali basi wakatuzoa hadi wateja ukumbi mzima,.
 
Dah,Leo yamenikuta nduguzangu.polisi wamenikamata nikiwa naenda kuchukua changu kwamzungu eti kiss ofisi hanakibali basi wakatuzoa hadi wateja ukumbi mzima,.

kampuni gani hiyo isiyo na kibali.....
 
Natafuta msaada kisheria nahisi nimeonewa na kudhalilishwa kiss pesayangu..
 
nancy
legia
rijeka
NEC nejmingen
fc eindhoen
volendan
midstyland..... nna safari ndefu

MIDSTLAND ..RIJEKA...LEGIA...VOLENDAN....TAYARI.....EINDHOEN NA NEC wanaongoza..... zoezi lipo kwa nancy.....yaani akipoteza.....ni hatari sana kwa afya....
 
mechi 6 zilizopita nancy kapigwa 2 kasare 4 ..... MUNGU WANGU.....leo nimebet kwa instincts tu ........sijapitia web yeyote..... sasa ndio natazama.....ni hatari....NANCY ATATULIZA WENGI SANA.....
 
mechi 6 zilizopita nancy kapigwa 2 kasare 4 ..... MUNGU WANGU.....leo nimebet kwa instincts tu ........sijapitia web yeyote..... sasa ndio natazama.....ni hatari....NANCY ATATULIZA WENGI SANA.....

nancy si bado 0-0 , utakula tu.

halafu ongeza pesa ya kubet tafuta odd kama ni 4 , 5 au 10 halafu unatia mzigo! mfano leo lazima ungekula kwa timu zote hizo kukubali imebaki hiyo moja tu.
vinginevyo utakuwa unalia kila siku kwa timu moja kukuua.
 
nancy si bado 0-0 , utakula tu.

Halafu ongeza pesa ya kubet tafuta odd kama ni 4 , 5 au 10 halafu unatia mzigo! Mfano leo lazima ungekula kwa timu zote hizo kukubali imebaki hiyo moja tu.
Vinginevyo utakuwa unalia kila siku kwa timu moja kukuua.

nancy ......maweeeeee........ Kapigwa kimoko......duh.....
 
meridian wahuni sana.... huku kwenye livescore watu wameshaanza quarter ya3 na wanapoint 20 yeye bado kaweka halftym......haahaaahaaaa .....duh
 
Atolewe nani
 

Attachments

  • 1417497777153.jpg
    1417497777153.jpg
    74.8 KB · Views: 123
Espanyol win
celta vigo win
newcastle win
west ham win
liverpool win
total odds 83.....
Yaaani unajifunika.....
 
Back
Top Bottom