Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu timu tano kuzipa ushindi zote ni ngumu sana, jaribu kuwafikiria mara mbili mbili watu kama Everton na Southampton hata uwape double chances. Swansea pia kumpiga Astonvila sio easy mkuu!

Asante mkuu, nitafata ushauri wako. Kabla sijaweka huu mkeka
 
Raimundo
Umenena vyema aisee
Nitakuwa natupia mikeka humu ili baadae tuweke timu zenye possible.
Naanza hivi
Liverpool
Southampton
Totternham
Swansea
Everton. Odds ziko 24.3 naweka 50000 tu kwa kuanzia
mkuu everton ni machela tena wanakutana stoke city ambao nao ni watata, everton gemu ya qpr walishinda kwa magoli ya kujifunga qpr, qpr walijifunga 2 own goals, bora umuweke sunderland anaweza akambamiza hully city , crystal palace vilevile anaweza msumbua southampton .
 
KWA MHINDI JAMANI APO VIPI??

vicenza-livorno
trapana-avellino
latina-virtus entene
crotone-frojnance
citadela-catania
NMEZIPA BOTH SCORED
carpi-pergua 1
pescara-varese 1

apo vipi??
 
mkuu likizo inakuwaje ngumu tena! Sijakusikia toka ulipoweka ile tip yenye odds 9 hafu nikaogopa kuicheza!

sijabet tangu ile siku...... Almost week imepita..... Namvizia tar26..... Ngoja nifanye home work ya point 10 boxing day....
 
mkuu likizo inakuwaje ngumu tena! Sijakusikia toka ulipoweka ile tip yenye odds 9 hafu nikaogopa kuicheza!

likizo ngumu namaanisha naweza kurudi kabla ya mwaka mpya....tih tih tih.... Juzi kati nimempa dogo tip.... Bristol akaua.... Juzi tena nimempa tip dogo leipzig akaua.....
 
sijabet tangu ile siku...... Almost week imepita..... Namvizia tar26..... Ngoja nifanye home work ya point 10 boxing day....

Ukizipata hizo usiache kurusha mapema mkuu, ikitick ntakurusha hata vocha!

Mimi kesho naingia chimbo, nitarusha mkeka hapa.

Harafu kuamkia boxing day kuna game kadhaa za Basket, itabidi tuchangie mawazo siku hiyo under/over kwenye live play.
 
HAYA HAYAAAA MKEKA WA TAR 26 KWENYE MABANO NI NAFASI ZAO HUSIKA KWENYE LIGI
LEAGUE ONE
BRISTOL CITY(1) Vs YEOVIL TOWN(22) - 1 (1.7)
LEAGUE TWO
BURTON ALBION(4) Vs TRANMERE(23) - 1 (2.1)
CONFERENCE PREMIERE
ALDERSHOT(18) Vs BARNET(1) - 2 (2.1)
PREMIER LEAGUE
BURNLEY(18) Vs LIVERPOOL(10) - 2 (1.8)

TOTAL ODDS 13.4946

HAYAAAA HAYAAAA WAKUBWA.....
 
Mzgo huo nlkosea kutupia jelo
 
Attachments

  • 1419415373853.jpg
    1419415373853.jpg
    77.8 KB · Views: 1,166
wakuu kubet final results ni ngumu sana
mimi huwa nabet magoli,nachagua mechi kubwa kubwa at most nne nabet 2+ goals
odds zinakuaga 2.2 hadi 4 kisha naweka mzigo
uhakika wa kula ni mkubwa
 
Kama kawa hapa ni 75% unakula pesa (timu 3)
Bet at your own risk
 
Attachments

  • 1419416014068.jpg
    1419416014068.jpg
    34.3 KB · Views: 150
wakuu kubet final results ni ngumu sana
mimi huwa nabet magoli,nachagua mechi kubwa kubwa at most nne nabet 2+ goals
odds zinakuaga 2.2 hadi 4 kisha naweka mzigo
uhakika wa kula ni mkubwa
mkuu unaweza weka hata 2+ nayo isitoke...:glasses-nerdy:
 
Unakula sikukuu baada ya hapo unaamka na mkeka huu. NORWICH. BRISTOL CITY.PRESTON. BURTON ALBION NA BOURNEMOUTH. Odds ziko 12 tu kwa muhindi
 
Kuna match fixer mmoja anahojiwa CNN sahivi kweli hawa ndo watu wanaofanya muhindi atajirike
 
Kuna match fixer mmoja anahojiwa CNN sahivi kweli hawa ndo watu wanaofanya muhindi atajirike

Channel gan mkuu...
 
Back
Top Bottom