Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Mkuu likizo vipi?
mkuu likizo nayo ni ngumu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu likizo vipi?
Mkuu timu tano kuzipa ushindi zote ni ngumu sana, jaribu kuwafikiria mara mbili mbili watu kama Everton na Southampton hata uwape double chances. Swansea pia kumpiga Astonvila sio easy mkuu!
mkuu everton ni machela tena wanakutana stoke city ambao nao ni watata, everton gemu ya qpr walishinda kwa magoli ya kujifunga qpr, qpr walijifunga 2 own goals, bora umuweke sunderland anaweza akambamiza hully city , crystal palace vilevile anaweza msumbua southampton .Raimundo
Umenena vyema aisee
Nitakuwa natupia mikeka humu ili baadae tuweke timu zenye possible.
Naanza hivi
Liverpool
Southampton
Totternham
Swansea
Everton. Odds ziko 24.3 naweka 50000 tu kwa kuanzia
mkuu likizo nayo ni ngumu....
mkuu likizo inakuwaje ngumu tena! Sijakusikia toka ulipoweka ile tip yenye odds 9 hafu nikaogopa kuicheza!
mkuu likizo inakuwaje ngumu tena! Sijakusikia toka ulipoweka ile tip yenye odds 9 hafu nikaogopa kuicheza!
sijabet tangu ile siku...... Almost week imepita..... Namvizia tar26..... Ngoja nifanye home work ya point 10 boxing day....
mkuu unaweza weka hata 2+ nayo isitoke...:glasses-nerdy:wakuu kubet final results ni ngumu sana
mimi huwa nabet magoli,nachagua mechi kubwa kubwa at most nne nabet 2+ goals
odds zinakuaga 2.2 hadi 4 kisha naweka mzigo
uhakika wa kula ni mkubwa
Msaada jinsi ya kutumia bonus
Kama kawa hapa ni 75% unakula pesa (timu 3)
Bet at your own risk