Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mbinu mpya zahitahijika kama twataka kuwa washindi. Mbinu zilizopo zimetushinda
 
Nisaidieni pale meridian bet wanapoweka Total goals mbona wanaweka mara nne halafu sielewi ya kwanza ni magoli mangapi na ya pila mangapi msaada jamani niweke mkeka
 
Kizuri gawana na wenzio bana, kwa wanaocheza online game inaanza saa 7 na nusu

INTERNATIONAL Club Friendly Games
(FC Nitra -:- FC Fastav Zlin)
Tip:-(1st Half Under1.5)
Odd:1.70
Tip:-(Under2.5)
Odd:2.50
Tip:-(Under3.5)
Odd:1.60
Tip:-(Goals in Second Half Under1.5)
Odd:2.15
Tip:-(Under 1.5 goals in each half YES)
Odd:3.60

Cheza kama singles chagua game moja tu kati ya hizo au cheza zote kama singles tuwakamue book makers
 
Napiga game kimya kimya lakini nimeona sio vizuri kula peke yangu
 
Leo natoka hivi
 
Attachments

  • 1422445136036.jpg
    1422445136036.jpg
    50.7 KB · Views: 150
Nisaidieni pale meridian bet wanapoweka Total goals mbona wanaweka mara nne halafu sielewi ya kwanza ni magoli mangapi na ya pila mangapi msaada jamani niweke mkeka

Mkuu kimombo kinapanda kidogo?
 
ok nimekupata. Vp umepigwa ban?

Hapana mkuu sijapigwa BAN. Nimemtumia invisible anibadilishie.
Kuna mtu anapita sana hapa na anatafuta sana ID yangu so nikaamua nibadili.

Labda pia yaweza kuwa bahati nzuri maana leo nimewapa hawa

Ivory coast
Mali
Gateshead
Porto
Rio ave
 
Back
Top Bottom