Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
rayo vacellano gg @50000
ngoja nimle na hapa
Kwa hii rafu unayo mchezea mhindi lazima mwaka huu akukome. Kama na hapa uliweka tukiacha ile 94 sina budi kukupa bonge la pongezi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
rayo vacellano gg @50000
ngoja nimle na hapa
wazee wa basket leo night tupia mzigo mapema ukiamka mambo safi tu ata mteni unatosha
01:00 Philadelphia 76ers –
Minnesota Timberwolves/
2 1,70
01:30 Brooklyn Nets –
Toronto Raptors /Toronto
over 102,5 points 1,90
02:00 Miami Heat – Dallas
Mavericks /Dallas over
100,5 points 1,90
Kwa hii rafu unayo mchezea mhindi lazima mwaka huu akukome. Kama na hapa uliweka tukiacha ile 94 sina budi kukupa bonge la pongezi.
bayen kazamia meli ya kigiriki
atatoa point za hizo game 3 then mzigo utapata kamakawa
kwa timu moja moja au mbil huwa namla sana muhindu ko ukweli..hata nikiliwa huwa hainiumi sababu najua ntamla wakat mwingine
Raimundo, mechi tatu katika football zimeahirishwa katika timu 12 nilizocheza. 9 zimeenda kama nilivyotabiri; hapo mhindi tutaelewanaje? Uzoefu tafadhali.
Umepokea pesa kutoka kwa M -BET, Kiasi Tsh 123,499, Ada 0. Salio lako jipya ni 228,369. Kumbukumbu no. CI150130.1141.D02701.
umeonaa eeenh...... hiyo ni set ya halftym baba.....vilareal...sevila..athletic...bristol....panathanaikos na aek athens.... wote wameenda sare halftym...... usikurupuke tu.....