Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahaha leo natandaza nyavu tu sina mda akinipiga leo naacha wiki nzima
 
Jana nilimpiga mikeka miwil leo naweka hivi Arsenal win.
Southampton win
barcelona win

vip hapo? Ila basketball ni poa sana ukicheza live wakuu hasa under na over point
 
Kwa mfano naomba darasa hapo kwenye hand cap

Cesena (+) vs lazio
2.38 3.39 2.22

Sasa hapo
draw inakuaje na
cesena kushinda inakuaje
Na lazio kushinda inakuaje
Nipen darasa huru hapo
 
Dear Omary

Nikweli kunatatizo kwenye website yetu, na tunalifanyia kazi kutatua, tutawatumia email mda tu tutakapo tatua kabisa hilo tatizo, tunashukuru kwa ishirikiano wako tunaomba uendelee kutujuza kwa lolote

Regards
Meridian.co.tz
 
Juventus daaaah, sijaamini ulichotufanya. Nimeanza mwezi vibaya sana
 
Jana nilimpiga mikeka miwil leo naweka hivi Arsenal win.
Southampton win
barcelona win

vip hapo? Ila basketball ni poa sana ukicheza live wakuu hasa under na over point

Hapo ka-uhakika kapo mkuu lazima utampiga muhindi leo
 
Net ikiwa ya uhakika live unapiga hela,ila kwa meridian ni majanga tu!!

Halafu kuwithdrwa mpunga unatakiwa kuacha kiasi gani kwenye akaunti?
 
Jamani wadau mie pia ni mpenda soka kupitiliza hasa mpira wa miguu.
Ningependa kuelekezwa kwa kina namna ya kucheza hizi BETTING hasa ukizingatia mie ni novice katika mambo hayo japo nachangia hapa kama mtazamaji tu na sijawahi kucheza hata siku moja hivyo basi naomba kushare nanyi.
Natumia line ya Vodacom ni ipi site nzuri kwa kubett na nafanyeje?
 
Net ikiwa ya uhakika live unapiga hela,ila kwa meridian ni majanga tu!!

Halafu kuwithdrwa mpunga unatakiwa kuacha kiasi gani kwenye akaunti?

wakunyumba!
Naomba msaada wako kama nilivyojieleza hapo juu, nami nataka kuingia rasmi katika mambo haya.
 
Jamani wadau mie pia ni mpenda soka kupitiliza hasa mpira wa miguu.
Ningependa kuelekezwa kwa kina namna ya kucheza hizi BETTING hasa ukizingatia mie ni novice katika mambo hayo japo nachangia hapa kama mtazamaji tu na sijawahi kucheza hata siku moja hivyo basi naomba kushare nanyi.
Natumia line ya Vodacom ni ipi site nzuri kwa kubett na nafanyeje?

Soma post ya kwanza.
 
St Ettienne ni Mak*ma wa mwisho. Wameninyima hela nyingi sana, yeye tu kum*mae.

Palermo win
Atalanta win
Werder Bremen win
Arsenal win
Girona win,
Az Akmaar win
St Ettienne kadraw mk*ndu sana huyu. Hadi natamani kulia daaah!!
 
Back
Top Bottom