mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,658
- 8,994
jana nimempiga muhindi, EVERTON WIN
SUNDERLAND WIN
TOTHENHHAM WIN
STOKE WIN.
TSH 182,407
Mkuu nitupiemo japo hata ka 5000 tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jana nimempiga muhindi, EVERTON WIN
SUNDERLAND WIN
TOTHENHHAM WIN
STOKE WIN.
TSH 182,407
Anderlechet
Olimpiakos
Sporting lisbon
Maccabi hadera
Juventus
Sevilla
Lazio
Uchambuz wenu wakina hapo jamani
Juventus daaaah, sijaamini ulichotufanya. Nimeanza mwezi vibaya sana
Jana nilimpiga mikeka miwil leo naweka hivi Arsenal win.
Southampton win
barcelona win
vip hapo? Ila basketball ni poa sana ukicheza live wakuu hasa under na over point
Hapo ka-uhakika kapo mkuu lazima utampiga muhindi leo
Asante, ngoja nisubiri laki tisa yangu hiyo baadae.
Net ikiwa ya uhakika live unapiga hela,ila kwa meridian ni majanga tu!!
Halafu kuwithdrwa mpunga unatakiwa kuacha kiasi gani kwenye akaunti?
Jamani wadau mie pia ni mpenda soka kupitiliza hasa mpira wa miguu.
Ningependa kuelekezwa kwa kina namna ya kucheza hizi BETTING hasa ukizingatia mie ni novice katika mambo hayo japo nachangia hapa kama mtazamaji tu na sijawahi kucheza hata siku moja hivyo basi naomba kushare nanyi.
Natumia line ya Vodacom ni ipi site nzuri kwa kubett na nafanyeje?
Hahahahahah
Sasa ivi nimejua kubet hand cap za meridian