Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ahsante mkuu sergey. Mimi huwa nafanya betting kupitia premier betting, hizi salama Mara nyingi inakuwa +1. Swali linakuja hivi. Mfano mechi ya Leo man u vs cambridge . Cambridge kapewa +1 nikiweka handicap kuwa man atashinda, na akashinda 2-0 hapo handcap imekubali?

Handcap ni aina ya mchezo, wala si aina ya matokeo.

Kama ulichagua hiyo mechi kuisha kwa Suluhu basi mechi hiyo utakuwa imepoteza, kwa sababu mwisho wa mechi man u atakuwa na goli 2 na Cambridge atakuwa na goli 1.

Kama ulichagua hiyo mechi kuisha kwa man u kushinda basi utakuwa imepatia, kwa sababu mwisho wa mchezo man u atakuwa na goli 2 na Cambridge atakuwa na goli 1.

Kama ulichagua hiyo mechi kuisha kwa Cambridge kuibuka Mshindi basi hiyo mechi utakuwa umepoteza. Kwa sababu mwisho wa mechi man u atakuwa na goli 2 na Cambridge goli 1.

Kumbuka +1 ni goli la kufikirika tu, hata kama hajafunga hilo goli katika mechi yenyewe.

+1 ni goli la kufikirika katika ulimwengu wa GAMBLING.
 
Last edited by a moderator:

Nakuelewa sana kiongozi. Ila kuna alama za -1 hasa meridian nimeona hicho kitu. Naomba mwongozo wako hapo mkuu
 
100% nimekuelewa. Angalia post yangu page no 1 inahusu halftime/ fulltime. Fanya ufafanuzi
 
Wazee wezangu naomba mjaribu bahati yenu hapa

Fulham vs Sunderland Tip Half time OR Full time DRAW Odds 1.73
Eintracht Frankfurt vs Wolfsburg Tip GG Odds 1.52
Akhisar Belediye vs Trabzonspor Tip Half time OR Full time DRAW Odds 1.72
Roma vs Fiorentina Tip Half time OR Full time DRAW Odds 1.77
Total Odds = 8.0
 
halftime/fulltime maarufu kama NGUMU KUMEZA ipo hivi 1(1/1) team mwenyeji aongoze kipindi cha kwanza hadi kipindi cha pili mechi inaisha mwenyeji anashnda.... 2(1/x) team mwenyej anaongoza kipind cha kwanza tu ikifika kipind cha pili team ya ugenin inasawazisha na mechi inaisha kwa sare... 3(1/2) team mwenyeji anaongoza first half halafu kipind cha pili team ya ugenin itasawazisha na kushinda mechi..... 4(x/1) kipindi cha kwanza droo kipind cha pili team mwenyej anashnda..! 5(x/x) kipindi cha kwanza droo na kipindi cha pili droo mech inaisha sare... 6(x/2) kipind cha kwanza sare kipind cha pili team ya ugenin inashndaa.....! 7(2/1) team ya ugenin itaongoza first half halaf kipnd ch pil team mwenyej anasawazsha na kushnda mech.. 8(2/x) team y ugenin itaongoz first half kipind ch pil4 team mwenyej anasawazsha mech inaisha sare.. 9(2/2) team ya ugenin kuongoza mwanzo mwishooo
 
Nakuelewa sana kiongozi. Ila kuna alama za -1 hasa meridian nimeona hicho kitu. Naomba mwongozo wako hapo mkuu

Navyoelewa me timu yenye nguvu ndo inapewa alama ya - wakimaanisha amfunge mwenzake kwa kumzid gol ikitegemea sasa ni -1 au -1.5 au -2 na kuendelea sasa ile alama ya + anapewa yule dhaifu kwa kigezo cha inawezekana hasifungwe kama ilivyo hizo namba mbele ya - yaan kizid gol moja au mawil
 
Nakuelewa sana kiongozi. Ila kuna alama za -1 hasa meridian nimeona hicho kitu. Naomba mwongozo wako hapo mkuu

Fanya unavyojua lakini kaa ukijua timu yenye -1 inapunguziwa goli Moja katika matokeo yake.

Mfano Man u (-1) vs cambridge . hapa kama mechi imeisha kwa matokeo ya 1 vs 1....Basi man u atakuwa amepoteza mchezo, kutokana na goli 1 la kufikirika limeondolewa.
 
Jana nimekula ticket 2, m bet wamelipa ticket 1 najaribu kuwapigia namba zao zote hazipatikani.hi ina manisha nini wadau? Au ndo wamenichinjia baharini?
 
Wazee wezangu naomba mjaribu bahati yenu hapa

Fulham vs Sunderland Tip Half time OR Full time DRAW Odds 1.73
Eintracht Frankfurt vs Wolfsburg Tip GG Odds 1.52
Akhisar Belediye vs Trabzonspor Tip Half time OR Full time DRAW Odds 1.72
Roma vs Fiorentina Tip Half time OR Full time DRAW Odds 1.77
Total Odds = 8.0

Samahani mi mgeni mambo ya kubet hizo odds znmaanisha nini??ndo points zenyewe au???
 
Mr Adam Gella
Hizo odds ni points ambazo ukizidisha na dau lako unapata kiasi amabacho unaweza shinda.
Mfano hapo juu nimesema total odds ni 8.0, sasa ukiweka dau la Tsh 10,000. Kuna uwezekano wa kushinda Tsh 80,000 yaani (10,000x8.0).
 
Last edited by a moderator:
halftime/fulltime maarufu kama NGUMU KUMEZA ipo hivi 1(1/1) team mwenyeji aongoze kipindi cha kwanza hadi kipindi cha pili mechi inaisha mwenyeji anashnda.... 2(1/x) team mwenyej anaongoza kipind cha kwanza tu ikifika kipind cha pili team ya ugenin inasawazisha na mechi inaisha kwa sare... 3(1/2) team mwenyeji anaongoza first half halafu kipind cha pili team ya ugenin itasawazisha na kushinda mechi..... 4(x/1) kipindi cha kwanza droo kipind cha pili team mwenyej anashnda..! 5(x/x) kipindi cha kwanza droo na kipindi cha pili droo mech inaisha sare... 6(x/2) kipind cha kwanza sare kipind cha pili team ya ugenin inashndaa.....! 7(2/1) team ya ugenin itaongoza first half halaf kipnd ch pil team mwenyej anasawazsha na kushnda mech.. 8(2/x) team y ugenin itaongoz first half kipind ch pil4 team mwenyej anasawazsha mech inaisha sare.. 9(2/2) team ya ugenin kuongoza mwanzo mwishooo

Kula tano mkuu. Nilikuwa nataka ufafanuzi kama huu. We unaweza kuwa mwalimu. Thanks again.
 
Fanya unavyojua lakini kaa ukijua timu yenye -1 inapunguziwa goli Moja katika matokeo yake.

Mfano Man u (-1) vs cambridge . hapa kama mechi imeisha kwa matokeo ya 1 vs 1....Basi man u atakuwa amepoteza mchezo, kutokana na goli 1 la kufikirika limeondolewa.

Kweli uko poa kwa hii mambo
 
Wadau hivi 2/4 result imamaana gani
na kama nikimpa 1 au 2 inatakiwa matokeo yaweje hili nishinde mpunga
 
aseeee........ nimecheza full tyn bado chali....timu moja

haya oeo hivi
monchglach
wolfsburg
solihul
bromley
metropolitan police
halifax
totol odds 15....
 
Attachments

  • IMG_20150203_083708.jpg
    IMG_20150203_083708.jpg
    202.7 KB · Views: 239
Mr Adam Gella
Hizo odds ni points ambazo ukizidisha na dau lako unapata kiasi amabacho unaweza shinda.
Mfano hapo juu nimesema total odds ni 8.0, sasa ukiweka dau la Tsh 10,000. Kuna uwezekano wa kushinda Tsh 80,000 yaani (10,000x8.0).

Asante kaka nimekuelewa!!!
 
Last edited by a moderator:
Jamani naomba kuelekezwa namna ya kubet kwa m.bet kwa kutumia *149*19# juzi nimeingia kichwa kichwa nikapigwa.

ASANTE.
 
Back
Top Bottom