Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mechi za leo vp wadau nataka npate 3 zenye uhakika ntupie cha 20 kupata mtaji wa ksho??
 
Hapa hapa naomba kuuliza swali kwamfano mm leo nimebet

Panthrakikos vs Ael kallon
Kukawa na point za namna hii
1-1 2-1 2-2 1-x 2-x x-x
1-1 1-2 2-2 x-1 x-2 x-x
Sasa hapo nashindwa kuelewa unachaguaje ili uweze kuibuka mshindi katika hizo timu mbil hapo naomben maelezo ya kina hapa swali jingine je hiyo n idadi ya magoli ama inawakilisha kitu gani

Maelezo ni kama ifuatavyo:
(A) 1/1-Mwenyeji ashinde mechi mwanzo mwisho(lazima apate goli kipindi cha kwanza,cha pili sio lazima).
(B) 2/1-Mgeni aongoze kipindi cha kwanza,mwenyeji aje achomoe kipindi cha pili aongeze goli jingine ashinde mechi.
(C) 2/2-ni kama hapo juu (A) lkn kwa mgeni
(D) 1/x-Mwenyeji aongoze kipindi cha kwanza,mgeni aje achomoe kipindi cha pili game iishe sare
(E) 2/x-Ni kama hapo juu (D) ila kwa mgeni aongoze kipindi cha kwanza,mwenyeji aje achomoe kipindi cha pili,game iishe sare.
(F) x/x- Hiyo ni sare mwanzo mwisho(vipindi vyote viwili)
(G) 1/2-Ni kama hapo juu (B) lakini kwa mwenyeji
(H) x/1-Sare kipindi cha kwanza,mwenyeji ashinde kipindi cha pili
(I)x/2-sare kipindi cha kwanza,mgeni ashinde kipindi cha pili.

Hivyo,kwa timu zako hapo juu;
Mwenyeji ni Panthrakikos na Mgeni ni Ael kallon.

ALL THE BEST
 
Asante mkuu hapo umeeleweka 1000000% safi sana
 
Mechi za leo vp wadau nataka npate 3 zenye uhakika ntupie cha 20 kupata mtaji wa ksho??

Hizi hapa, Lakini huenda 3 tu zikatiki, wala sijazifanyia upembuzi yakinifu.

1. STANDARD LIEGE win.
2. SPARTA ROTTERDAM win.
3. ST ETIENNE win.
4. TROYES win.

chagua mechi 3 tu..!
 
leo ngoja nijarbu na hizi mechi maana game ngumu sana.... STANDARD LIEGE. CARPI FC 1909. SANTI ETIENNE SPARTA ROTTERDAM FC OSS.. ACHILLEESS 29 VOLENDAM....
 
Hizi hapa, Lakini huenda 3 tu zikatiki, wala sijazifanyia upembuzi yakinifu.

1. STANDARD LIEGE win.
2. SPARTA ROTTERDAM win.
3. ST ETIENNE win.
4. TROYES win.

chagua mechi 3 tu..!
HAPO KAKA MUHINDI ANAKUPIGA,huyo sparta rotherdam usimuamini sana pia saint etienne akitoa draw au troyes ni balaa.....
 
leo ngoja nijarbu na hizi mechi maana game ngumu sana.... STANDARD LIEGE. CARPI FC 1909. SANTI ETIENNE SPARTA ROTTERDAM FC OSS.. ACHILLEESS 29 VOLENDAM....

hapa mi nafanya HIV
S.liege +2,5
fc OS's gg
carpri +2,5
st Etienne win
 
hebu bet HII.ILI KESHO TUPATE MTAJI WA KESHO INA ODDS 5.36
FC OSS WIN
VOLENDAM WIN
ACHILLES WIN.
WEKA ELFU KUMI TUUU.
 
Hii natoa kwa walio na roho ngumu.
Bor.monchenblach win
troyes win
auxerre win
deportivo la coruna win. Odds 21. Tia elfu tatu alafu sahau.
 
Mkeka ukiweka hivi unapiga mbongo:
1. Leipzig
2. Standard leige
3. Sv Darmstadt
4. Fc Ingolstadt
Hapo mwindi achomoki. Weka 10000/= chomoka na 330000/=.
 
Bhanaa wadau naomba mnisaidie hapa mana me sielewi vizuri, kwenye mbet, handcap unakuta iko hvi: liverpool vs (+1)bolton..
Msaada plz..
 
ST Ettien win Arsenal win Avelino win Bournomouth win Southamton Win Swanswea Win odds 160 tia 30000 upate milion 5
 
Back
Top Bottom