Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

RED STAR FC 93 1.51 LOSE
ARSENAL 1.23 WIN
LIVERPOOL 1.79 WIN
SUNDERLAND 1.84 WIN
HULL CITY 3.00 LOSE
BIRMINGHAM 1.84 WIN

@5000



Naomba mchango wenu wa mawazo.

Hapo kwa hull city lose pana tatizo kidogo,hao s'land ni km rennes ni draw football clubs
 
Unaonaje tukifanya kwa wale watakao ridhia yani ikawa ni uamuzi wa mtu kujiunga.

Pitia posts za nyuma, kuna group tayari limeshatengenezwa! Wape namba yako ujiunge kama vipi! Atakayetaka atakufata, asiyetaka hatakufata!
 
jaribu hao wa kijani wa5....peke yao...hao wekundu wamejirudia.....game ya derby na ya swindow ni ngumu hizo....kwa mujibu wa takwimu zao wakiwa away...qpr na sunderland lolote linaweza kutokea coz wote wanafight relegation....hull city kwa villa ni game nyeusi..... yote kwa yote ni ushauri tu changanya na hisia zako

Asante sana nimekuelewa na odds zao zipo poa tu at 15.58 hapo ukiweka 20000 unaibuka mshindi siku ya leo
 
Hii ilishakuja humu zamani sana watu wakapinga
Watu humu IDs zetu zatufanya tusijuane na ndio maana twatumia fake IDs sasa wewe ukishajiweka whatsapp ina maana mtu atajua jina lako halisi kwa tigo pesa, mpesa.
Afu pia humu tuko zaidi ya watu 100, whatsapp mwisho 100 so kuna wengine watakosa uhondo.
Afu pia si wote wanatumia whatsapp au wako whatsapp kuda mwingi.
Hapa twaingia mara chache sana sababu ya shughuli mbali mbali.
Whatsapp huwa zinajaza picha tu kwenye simu zetu hivyo naona ni bora tubakie hapa.

ok nimekupata
 
Ningependa tuanzishe group letu whattsap...ili kuwasiliana wote mara nyingi iwezekanavyo.....ushauri tu

Wazo zuri sana naunga mkono 100%

Unaonaje tukifanya kwa wale watakao ridhia yani ikawa ni uamuzi wa mtu kujiunga.

Watu tupo kwenye group tayar la betters tunadiscuss kila siku 0759212578 huyo ni group admin mwambie akuad

Haya, kazi kwenu! miss lucy kawapa namba ya admin!
 
Last edited by a moderator:
Mtoto wa nzi Raimundo xyz123 Rahim_baharia Rockcity native MANGUNGO

Leo mikeka yangu iko hivi baada ga kufatilia kwa muda kiasi

Southend
Luton
Burton
Bristol
Birmingham
Arsenal
Hull
Sunderland
Wycombe

Mwingine huu hapa
Totternham
Derby
Cafdiff
Huddersfield
Sheff
Swindon
Burton
Luton
Southend
Ni hapo tu jamani

Tottenham hawezi kuifunga liverpool labda liv wapate red card like lazio y'day unless otherwise liverpool anawafunga hao tot.nitarud 0100hrs
 
Last edited by a moderator:
jaribu hao wa kijani wa5....peke yao...hao wekundu wamejirudia.....game ya derby na ya swindow ni ngumu hizo....kwa mujibu wa takwimu zao wakiwa away...qpr na sunderland lolote linaweza kutokea coz wote wanafight relegation....hull city kwa villa ni game nyeusi..... yote kwa yote ni ushauri tu changanya na hisia zako

Leo nawashwa kucheza football, maana naona kama sina bahati na boli mazee!
 
Punguza punguza team ndugu hasa hao championship kisha ongeza stake. leo napumzika mpaka weekend.

Nimepunguza timu hadi zimefika 6 odds 15.58 naweka ksh 1000 yatosha kabisa.
Arsenal
Luton
Birmingham
Southend
Wycombe
Bristol
 
Hapa vipi?

Arsenal win
Bristol win
Wycombe win
Southend win
Luton win
Ipswich win
Burton win
 
Tottenham hawezi kuifunga liverpool labda liv wapate red card like lazio y'day unless otherwise liverpool anawafunga hao tot.nitarud 0100hrs

This is football, anything can happen. Hakuna alieamini Chelsea angefungwa na Bradford.
Madrid kufungwa 4-0
Macity na Man U kudraw tena kwa kutoka nyuma.
Kane kuwafunga Arsenal goal mbili na kuipa Tot ushindi.
 
Wale wa ngumu kumeza

League: England league
Start: 22:45

Match: Peterborough United vs Gillingham
Tip : Half Time - Full Time : [ 2 / 1 ]
Odds : 25.00
 
This is football, anything can happen. Hakuna alieamini Chelsea angefungwa na Bradford.
Madrid kufungwa 4-0
Macity na Man U kudraw tena kwa kutoka nyuma.
Kane kuwafunga Arsenal goal mbili na kuipa Tot ushindi.

Arsenal walifungwa kwa ujinga wa manager wao sub anamtoa kiungo wao bora s cazorla na ndipo turning point ilipoanzia.!sitegemei km br atafanya makosa km hayo na akimpanga lovren bas tot anashnda kiurahis kabsa
 
Hapa vipi?

Arsenal win
Bristol win
Wycombe win
Southend win
Luton win
Ipswich win
Burton win

Bro hapo iko poa sana na nimefatilia stats zao ziko poa sana
Ila Ipswich muangalie vizuri hao wengine hako salama kabisa
 
Nimepunguza timu hadi zimefika 6 odds 15.58 naweka ksh 1000 yatosha kabisa.
Arsenal
Luton
Birmingham
Southend
Wycombe
Bristol

wacha ubahil...tia hapo 15000 kesho uje na jibu
 
Mbuna
maana yake ni kwamba first half
Gillingham itashinda and full-time Peterborough United itashinda

Meridian wanatumia

Peterborough United
vs

Gillingham
Tip: Half t.-Full t. : 2-1
 
Wakuu nataka kubet through m.pesa namba ya kampun ninayo mpaka risiti namba wameshanitumia sasa nmelipa lakn MALIPO3 maxmalipo wananizingua eti anaetumiwa hatambuliki naombeni msaada
 
Back
Top Bottom