Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

manchester
utd
1.23 win
stoke city 1.62 lose
barcelona 1.17 win
chelsea 1.27 win
paris saint
germain
1.23 win

na hapa je?

ni kufumba macho tu mkuu maana man city na psg na man utd..... Hawaeleweki kama kina cha maji ya ziwani.....
 
Jana za uso nimepata ngoja nojaribu na leo tuone ila game ya city na united ngumi
 
Mimi niko humo
 
Attachments

  • wp_ss_20150211_0002.png
    wp_ss_20150211_0002.png
    10.7 KB · Views: 155
  • wp_ss_20150211_0004.png
    wp_ss_20150211_0004.png
    29.7 KB · Views: 142
Aisee hii Tabia ya kuweka timu nyingi ishanicost. Jana Burton Albion kaninyima pesa. Niliweka 1000 kwa timu 8 nikakosa game 1. Kuanzia sasa mwisho timu 5

hata hzo5 inaweza ikalamba kwako😁😂😂
 
Halaf Kuna option ya redcard na yellow card,..hzo Ni point za bure kabisa
 
Aisee hii Tabia ya kuweka timu nyingi ishanicost. Jana Burton Albion kaninyima pesa. Niliweka 1000 kwa timu 8 nikakosa game 1. Kuanzia sasa mwisho timu 5

hahahaha unatumia kigezo gani kwamba hizo 3 ulizopunguza ndio zitakuondolea mikosi. Unaweza kukuta hizo tano bado moja ndio ikakumaliza
 
Back
Top Bottom