Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kila la kheri mkuu, onyesha njia!

Hafu umeona vijana wako GSW points zimeanza kupungua!

Curry na Klay hawakuwa vizuri kabisa leo... sijui ni uchovu wa kusafiri maana hii ni game ya 3 mfululizo wako away.. walikuwa wanapiga Over 110 naona sasa wanaishia 90's
 
jamani handicap kwenye meridian unaekaje.....dah naona H nini mara mwengine ana negative....msaada jma kwenye tuta
 
Jamani hawa m-bet vipi mbona odd zao ndogo jamani yaaan nimeweka 2000 handcap mechi tano nimempiga 81000 tu? Hawa meridian unajiungaje online naomba msaada.
 
online we ingia tu meridianbet.co.tz......alafu sign up alafu mengine yatafta hukohuko..jinsi yabkutuma pesa nvol dat
 
mjomba kamari ni noma sana
MKEKA WA 28+ anaua athletico anafunga dakika ya 10....
MKEKA wa 3+ chelsea anaua.....
MKEKA wa normal nao chelsea anaua.....

NIMESHAVURUGWA ..KESHO NAYO NI SIKU....

pole sana mkuu mimi hawa watoto wa kanisani...sophantony ndo wameniua mikeka yote nilikuwa nipige miela mingi sana
 
Chunga tamaa mbaya,..
 

Attachments

  • wp_ss_20150212_0002.png
    wp_ss_20150212_0002.png
    13.6 KB · Views: 160
Kwa mzungu si kamhindi😎😎
 

Attachments

  • wp_ss_20150212_0003.png
    wp_ss_20150212_0003.png
    19.5 KB · Views: 134
Msaada jamani tangu nianze kubeti ni kama miezi 10 hivi na sijawahi kashinda, wiki hii nataka niweke 50000/= plz naomba mnipe timu za huakika walau nipate hata odds 3, nami nitoe gundu wiki hii
 
Msaada jamani tangu nianze kubeti ni kama miezi 10 hivi na sijawahi kashinda, wiki hii nataka niweke 50000/= plz naomba mnipe timu za huakika walau nipate hata odds 3, nami nitoe gundu wiki hii

Anderletch na galatasalay
 
Back
Top Bottom