Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
hahaha Mkuu nikishakamilisha nitawaletea hapa..
Kila la kheri mkuu, onyesha njia!
Hafu umeona vijana wako GSW points zimeanza kupungua!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha Mkuu nikishakamilisha nitawaletea hapa..
Kila la kheri mkuu, onyesha njia!
Hafu umeona vijana wako GSW points zimeanza kupungua!
mjomba kamari ni noma sana
MKEKA WA 28+ anaua athletico anafunga dakika ya 10....
MKEKA wa 3+ chelsea anaua.....
MKEKA wa normal nao chelsea anaua.....
NIMESHAVURUGWA ..KESHO NAYO NI SIKU....
View attachment 226365
mechi za leo nyeusi nyeusi..... ngoja niwajaribu hivi
Yaani huyu mzungu kala mpaka mtaji
Msaada jamani tangu nianze kubeti ni kama miezi 10 hivi na sijawahi kashinda, wiki hii nataka niweke 50000/= plz naomba mnipe timu za huakika walau nipate hata odds 3, nami nitoe gundu wiki hii
Anderletch na galatasalay