Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapo sawa.. naona kuna Rockets na Memphis pia wanaweza toa pesa

Hao labda uwape under, Memphis wanacheza full D na watamkaba sana Harden.

Siku za nyuma ungempa Memphis lakini siku hizi hawako consistent kabisa.
 
Hao labda uwape under, Memphis wanacheza full D na watamkaba sana Harden.

Siku za nyuma ungempa Memphis lakini siku hizi hawako consistent kabisa.

Mkuu Rockets anacheza na Detroit na Memphis anapiga na Lakers.. wote wako home
 
hongera san kiongozi !! the higher the risk higher the price

Taratibu mkuu ndo tunajikongoja hivyo, Wanakwambia katika 10 commandments of betting

Rule number one do not be Greedy

Rule number two do not stake what you can not afford to lose.

Nyingine nitamalizia kesho

GG WIN 1.JPG

BET WON
 
juve jana kapita na wengi ...nilipumzika tu

leo nimecheza hivi
ingolstadt win
estac troyes win
merseille win
bournmouth win

5000 returns 70900........
Asante mkuu kwa kunirahisishia kazi hapo nikaongeza na katimu kamoja nikatia ka buku 5 leo nimeamka na mzigo wa maana
 
Shukran kwa Mtoto wa nzi mkeka wangu wa leo ni huu
View attachment 232525

Daah polee sana mkuu Fc Emmen jana hata mimi kaniuaa......
Yani first half tu amepigwa 3
Second half kajitahidi akarudisha 2
Full time ikawa
Emmen 2
fc oss 3
Ligi ya holland2 sio ya kuamini sana timu za nyumbani naona hata za away zinshinda sana tu....
 
Last edited by a moderator:
hongera san kiongozi !! the higher the risk higher the price

Daah polee sana mkuu Fc Emmen jana hata mimi kaniuaa......
Yani first half tu amepigwa 3
Second half kajitahidi akarudisha 2
Full time ikawa
Emmen 2
fc oss 3
Ligi ya holland2 sio ya kuamini sana timu za nyumbani naona hata za away zinshinda sana tu....

Huyu kala mbona kumbuka mechi ya emmen kaweka gg yani timu zifungane sio final score so kapiga mpunga
 
Taratibu mkuu ndo tunajikongoja hivyo, Wanakwambia katika 10 commandments of betting

Rule number one do not be Greedy

Rule number two do not stake what you can not afford to lose.

Nyingine nitamalizia kesho

View attachment 232543

BET WON

dah mdau ungemweka merseille na troyes....mdau ulikua unacheza na 700000.....sio mbaya

premier betting set ya late

monaco win
malaga win
sampdoria win
psv win
madrid win

odds 16.53
5000 returns 82600

set ya normal early
shrewbury win
macclesfield win
bologna win
norwich win
burton albion win
bristol city win
bury win

odds 50.43
5000 returns 252180.

tuichambue hiii fastaaa fastaaaa
 
Me naona imetulia tuu, embu ngoja nicheki wazee wa windrawwin.com wanasemaje
 
dah mdau ungemweka merseille na troyes....mdau ulikua unacheza na 700000.....sio mbaya

premier betting set ya late

monaco win
malaga win
sampdoria win
psv win
madrid win

odds 16.53
5000 returns 82600

set ya normal early
shrewbury win
macclesfield win
bologna win
norwich win
burton albion win
bristol city win
bury win

odds 50.43
5000 returns 252180.

tuichambue hiii fastaaa fastaaaa
muongeze na
Cukaricki jamaa wako vizuri hawana loose wala draw sinc november last year
 
Back
Top Bottom