Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wajinga ndio waliwao hakuna bingwa wa utabr wa mpr kla cku akapatia we nunua hvyhvy lkn ipo ckuyako utajuta.Lkn km unaona unauhakika sn huo mkeka usambaze kwa familia yako yote il muwe matajir kwa mkupuo co kuomba wakumuuzia humu wote ulio wakuta n mafund zaid yako wanatengeneza wenyewe na wanatuyua vlvl

Hii Nimeipenda
 
wadau,nimefanikiwa ila najaribu ku log in wananiaomba username wakati pale nilipo lejista hapakuwa na sehemu ya kujaza username msaada kdgo
 
ImageUploadedByJamiiForums1425732267.110352.jpg
Leo mpk kieleweke hapa nataka ksho kwenye mrejesho cc tucheke mzungu na muhindi walie
 
Kwa wale waoga basi njooni hapa hizi ni za Uwakika kabisa:-

1.Bradford's
2.
Sampdoria
3.
Wolfsburg
4.
Bayern
5.
Paris Saint Germain
6.
PSV
7.
Zenit
8.
Philadelphia Union
9.
Norwich
10.
Sheffield Wednesday'
11.
Rizespor
12.
Bursaspor

Hapo sasa kama hujiamini bado basi tupia nne au tanotano.

Hapo kwa Rizespor cpo
 
Wazee wa kujitoa muanga nifuateni leo, mi nimemuua Bayern munich first half kwa 50,000/= meridian naskilizia.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Wazee wa kujitoa muanga nifuateni leo, mi nimemuua Bayern munich first half kwa 50,000/= meridian naskilizia.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Ndugu dizain kama umejitoa mhanga... like seriously.
 
Back
Top Bottom